barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Become a better you-Joel Osteen. Kwa sasa nasoma soma Biblia, napata mafundisho mazuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
48 laws of power
Nami hicho ktb Think Big kimenisaidia sn kubadili maisha.Nimejifunza kutokata tamaa ktk jambo unalofanya la maendeleo.Kuna stori humo jamaa aliuza mgodi wa shahabu akiwa m3 tu kutoka mkondo wa dhahabu alikata tamaa akauza..Jamaa aliyenunua akafanya survey akagundua hilo akala bingo.
View attachment 153768
THINK BIG ni miongoni mwa vitabu vilivyowahi kunivutia. Story yake inaonyesha jinsi ambavyo Hakuna Mtu ambaye hana uwezo. Kutoka Kuwa mtu wa mwisho darasani hadi kuwa daktari bingwa duniani mwenye kuheshimiwa. Prinsciples za kawaida tu ambazo zilitumiwa na mama asiyejua elimu. akifanya kazi kama HOUSEGIRL kwenye nyumba za matajiri aliwawezesha vijana wake wawili mmoja kuwa Engineer na mwingine kuwa Daktari bingwa duniani. Aisee! Huyu BEN CARSON kwa ku-duplicate issues anajitahidi kwa kweli mpaka najuta kununua hiki kitabu cha THINK BIG Kwa sababu alichokiandika kwenye kitabu chake cha GIFTED HANDS (mikono itendayo maajabu) hakina tofauti na kilichoandikwa humu kwenye think big ishu ni zilezile labda hizo copy nyingine za BIG PICTURE na TAKE THE RISK
Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadhalia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.
hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu. yawezekana ulisoma wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane.
Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu kiafya, kijamii, kibiashara, kitaaruma,kimitazamo, kiimani, kimwili, mausihano nk kupitia vitabu.
Kitabu gani ambacho kiligusa maisha yako au kukubadilisha na unatamani wanajf wenzako tujifunze pia. unaweza kueleza kimekusaidiaje kwa ufupi kama hutojali.
Mkuu hii mada nzuri sana. Kwa bahati mbaya vitabu vya aina hii vinapatikana dar au arusha pekee. Mikoa mingine ni vigumu sana kuvipata. Mkuu unaweza kutuunganisha na wauzaji ili tuviagize watutumie huku mikoani?
shall we tell the president