Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Wasalaaam ndugu zangu, natumai wote ni wazima.

Leo hii naanzisha huu uzi kwa dhumuni zuri na maalumu la kusambaza maarifa kwa wanajukwaa hili na pengine watu wengine wa nje ya jukwaa hili.

Mpango ni kurusha vitabu mbalimbali kwenye jukwaa hili ambavyo vitaweza kuwasaidia watu na kuweza kuwapanua uwezo wa kiakili endapo utakuwa umesoma vitabu vizuri na bado unavyo itakuwa ni vema ukirushe kwenye uzi huu ili watu mbalimbali wasome na waelewe.

Natumai watu wa kada mbalimbali watapita na hakuna mtu ambaye atakosa cha kujifunza hapa. Sasa vitabu vinaweza kuja kwa mfumo wa PDF, MOBI, EPUB etc. Na kama utakuwa na hard copy basi watu wanaweza kukutafuta kama tu mtakuwa mekubaliana.

Natanguliza shukrani zangu.

Young Malcom.

CC: UncleBen , FisadiKuu , MSEZA MKULU , Consigliere

Mkuu kuna thread nimeweka link hapo, anzia ukurasa wa kwanza mpaka mwisho

https://www.jamiiforums.com/threads...ihitaji-nitafute.315875/page-92#post-16748441
 
Mkuu tofauti yangu na huu uzi ni kwamba mimi nakuwa nasoma na nafanya summary ya kitabu husika ili kila mtu ajua kinaga ubaga yaliyomo ndani ya kitabu hicho ili kama atapenda kukisoma asome.
Na pia kila kitabu nitakachofanya Summarisation hakika nitakiweka ili mtu akipakue.
Tunategemea usiweke tuu jina la kitabu, maana vitabu vipo vingi sana: Tunahitaji yaliyomo ndani yaelezwe ili UMMA wa JF ujue.

Ahsante Mkuu na karibu sana.
 
Nimekuelewa sana mkuu.
 
Wasalaaam ndugu zangu, natumai wote ni wazima.

Leo hii naanzisha huu uzi kwa dhumuni zuri na maalumu la kusambaza maarifa kwa wanajukwaa hili na pengine watu wengine wa nje ya jukwaa hili.

Mpango ni kurusha vitabu mbalimbali kwenye jukwaa hili ambavyo vitaweza kuwasaidia watu na kuweza kuwapanua uwezo wa kiakili endapo utakuwa umesoma vitabu vizuri na bado unavyo itakuwa ni vema ukirushe kwenye uzi huu ili watu mbalimbali wasome na waelewe.

Natumai watu wa kada mbalimbali watapita na hakuna mtu ambaye atakosa cha kujifunza hapa. Sasa vitabu vinaweza kuja kwa mfumo wa PDF, MOBI, EPUB etc. Na kama utakuwa na hard copy basi watu wanaweza kukutafuta kama tu mtakuwa mekubaliana.

Natanguliza shukrani zangu.

Mimi naanza na kitabu kizuri sana ambacho kimenisadia kwenye kukuza uwezo wa kufikiri mambo kwenye biashara. Kinaitwa "The Go Giver" nashauri mtu akipata muda akisome.
Kama kimenisaidia basi natumai hata wewe kitakusaidia.

Kwa kifupi kinaelezea jinsi gani ambavyo mtu anaweza kufanya biashara kubwa lakini bado biashara hiyo itaipa jamii inayomzunguka faida.
Tofauti na mawazo ambayo wafanya biashara wengi na wajasiriamali wanakuwa nayo kwamba biashara ni faida tu na utafanya biashara sehemu yenye faida tu.

Kinaanza na mtu moja alikuwa ni kijana mdogo anafanya kazi kwenye kampuni fulani huko MAREKANI sasa akawa anahangaika sana kupata utajiri wa haraka. Kila siku alikuwa na mipango mikubwa ya biashara lakini hafanikiwi. Siku moja akapata nafasi kukaa na tajiri mkubwa huko MAREKANI na akaambiwa sifa ya kuwa Tajiri ni lazima ujifunze kutoa kwa watu kabla ya kutanguliza faida.

Mbeleni kinaonyesha jamaa analalamika kwamba ukifanya biashara kwa huruma huwezi kutajirika hata siku. Lakini akakutana na tajiri mwingine ambaye alimueleza vilevile. Na mwishowe akaja kujua kama matajiri wakubwa wote wanakuwa na sifa zinazofanana.

Young Malcom.

CC: UncleBen , FisadiKuu , MSEZA MKULU , Consigliere

Malcom heading yako imenifanya nikimbilie, thought it was 'a book club project'

'The Go Giver' sounds interesting, will have to add it in my summer reading.
Thanks for sharing kiddo.
 
Actually that was the Idea,
But turns out the Mods have iced down the whole thingy!!
For sure we had a progressive plan.
 
That would've been great!, I thought about it before but I wasn't sure how much support I'd get If I asked. But your heading relates to this thread more, may be that's why they merged it.
 
No i gave all the instructions in the thread but i think they were in haste and couldn't read every bit of instructions.
But read the "GO GIVER" you will not be disappointed......
 
  • Thanks
Reactions: kui
No i gave all the instructions in the thread but i think they were in haste and couldn't read every bit of instructions.
But read the "GO GIVER" you will not be disappointed......

I'll sure do.

What are you into more? fiction or serious stuff?
 
Back
Top Bottom