Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Alfu lela ulela ( safari saba za sindbad baharia)
Hiyo story imeniamsha kutoka usingizini kwa kufikiri watu tajiri ni bahati yao ama Mungu amewapendelea,
Kumbe wamepitia misukosuko na unapowaona ni wakati wao wa kuneemeka kupitia dhoruba walizopia.
 
Kuna wengi wamebadilisha na kuboreshwa maishani yao kupitia vitabu , kijamii, kibiashara, kimitazamo, na hasa kiuchumi nk kupitia vitabu.
Uzi huu nikwaajili ya ku share vitabu ulivyokuwa navyo kwenye softcopy mfano rich dad poor dad, think big nk

Pia kama itaitajika group la whatsapp kwaajiri ya club ya wasomaji vitabu tu
 
Tengeneza what's app group kwa ajili ya wasomaji vitabu lengo si kutumia tu vitabu bali hata kuhamasishana kusoma.
 
Naomba mwenye kujua kitabu hicho cha
Manson's Tropical Diseases
anisaidie namna ya kukipata.
 
Ok Folks,links hizi hapa chini,download jisomee mwenyewe,usisahau kunipa asante na likes za kutosha
Tujisomee wote jinsi Rais huyu mwenye upungufu wa akili aliyesukumiziwa kutawala nchi kubwa kama USA na kuishia kufanya madudu tu daily.

nimeambatanisha links zipo kwenye format za e.pub na mobi unachitakiwa kufanya kama upo kwenye computer download ebook reader kwa mfano icecream e book reader ,kama kwenye simu ingia app store download e book reader ,ni mfano kama wa acrobat pdf hapo utaweza jisomea kitabu hiki
 
Attachments

day kilivyotoka tu kilisambazwa magrp ya watsp km njugu
 
Back
Top Bottom