Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Kuna haja ya serikal kutenga bajeti kwa ajili ya kutafsiri hivi vitabu vya kiingereza just imagine kitabu km rich dad poor dad kingekuwa kimetafsiriwa kiswahili leo hii kingebadilisha maisha ya watu wangapi?

Wahindi bhana wamevitafrisi kwa kihindi mpaka lugha za kikabila na sio hicho tu vitabu kibao
 
Asante mtoa Uzi
Nilopouona uzi nikachukua diary yangu na pen na kuanza kuandika vitabu ambavyo sijasoma
Nimepata vitabu 45 ambavyosijasoma
Nitadownload na vingine kuvitafuta ubungo, Mwenge na posta, Mlimani City sigusi kwakuwa huuzwa bei kali, huwa napita kuvichungulia tu.

On top of that hili wazo la club ya kusoma vitabu ni zuri nimelipenda hebu fanyia makeke tuwe wamoja tujifunze kwa pamoja
It's so wonderful
Big up for the Uzi
 
Asante mtoa Uzi
Nilopouona uzi nikachukua diary yangu na pen na kuanza kuandika vitabu ambavyo sijasoma
Nimepata vitabu 45 ambavyosijasoma
Nitadownload na vingine kuvitafuta ubungo, Mwenge na posta, Mlimani City sigusi kwakuwa huuzwa bei kali, huwa napita kuvichungulia tu.

On top of that hili wazo la club ya kusoma vitabu ni zuri nimelipenda hebu fanyia makeke tuwe wamoja tujifunze kwa pamoja
It's so wonderful
Big up for the Uzi

thanks. litafanyiwa kazi
 
From the streets to the parliament- Joseph Mbilinyi(mr2)
 
Kifupi nimesoma novels Chase, Mario Puzo, some African writters Ngugi, Chinua Achebe, Willy Gamba nk. Nimesoma vitabu sikumbuki author vilikuwa home nikiwa secondary ...the secret door to success etc. Havikunibadili
Holy Bible imenibadili mtazamo mzima wa maisha yangu kuanzia familia, mahusiano, kazi na uchumi. Try it!
 
Kiswahili kinakusumbua mkuu,,nakushauri ukasome hiki kitabu 'Soma kwa hatua' kitakusaidia sana.. Mimi nimesema 'kalibu' kila aina ya kitabu...kamba iko wapi hapo

kuna vitabu amevijata Ritz vipo UDSM,AIDHA MAIN LIBRARY EAST AFRICANA AU DEPT OF HISTORY BAADH NILIVISOMA HASA CHA ILLIFE the former professor at Cambridge university mzungu alokua anaamini katika african dev
 
Last edited by a moderator:
"The Philosophy of Religion: An Anthology".

Nilipokisoma nilikuwa na miaka 18, tangu hapo sijarudi katika kuamini kuwepo kwa mungu in the Judeo-Christian context.
 
Kuna vitabu vitatu ambavyo vimeshangia kubadili maisha yangu kwa kiwango kikubwa sana. Ningependekeza kila mtanzania avisome.
1. THINK AND GROW RICH
Hiki kimenisaidia kuweza kufikia uwezo mkubwa ulio ndani yangu na kuniwezesha kuona fursa nyingi zinazonizunguka.
2. RICH DAD, POOR DAD
Hiki kimenisaidia kuhusu utofauti kati ya elimu ya darasani na elimu halisi ya mtaani. Kimenisaidia kuona mambo ambayo nilifichwa darasani na ambayo ni ya msingi sana ili kufanikiwa.
3. THE RICHEST MAN IN BABYLON
Hiki kimenisaidia kuhusiana na maswala yote yanayohusuana na fedha kuanzia kuweka akiba mpaka kuwekeza. Kimeniwezesha kuweza kujilipa mimi mwenyewe hata kwa kipato kidogo sana na kuweza kujenga akiba iliyotosha kuanzia biashara.
Hivyo ni vitabu ambavyo natamani kila mtanzania avisome. Kama huna vitabu hivi nitumie email kwenye amakirita@gmail.com na nitakutumia vyote vitatu bure kabisa.
Au unaweza kutembelea AMKA MTANZANIA na ukajifunza mengi pamoja na uchambuzi wa vitabu hivi.

Wote mlionitumia emails nimeshawatumia vitabu hivyo vitatu.
 
Back
Top Bottom