heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
na mimi godimpare2@gmail.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kivyako amenena kitu cha msingi sana, tatizo siku hizi wanaangalia kufaulu ndio msingi mkuu, I remember those days 90s nilikuwa najiuliza ina maana sie tulikuwa vilaza maana siku hizi ukikatiza kitaa unamwona dogo anakuambia ana "A" lakini ukipiga nae story kuhusu hilo somo kama imepita miezi 6 tangu amalize hana chochote anachojua, pamoja na kwamba those days kuna watu walikuwa wana marks za kawaida lakini uelewa wao wa mambo ni mkubwa aisee tofauti na sasa (nilishangaa dogo mmoja na degree yake amepewa kufundisha Civics ananiambia hawezi ila mwalimu anamng'ang'aniza na huyu alisoma HGL kabla ya kuingia chuo sasa ndio nimegundua effect za madesa ya Nyambari maana Civics bila kujali umesoma course gani ni kitu ambacho kila mtu anakijua bora hata angekuwa amesoma science maana mijitu ya science hudharau masomo ya aina ya civics tangu mwanzo)you have a point!
You will never regret knowing CLEMENCY as wellKwa vitabu vya inspiration, Robin Sharma ni mzuri sana. Tafuta Vitabu vinaitwa
- Family wisdom from the monk who sold his Ferrari
- The leader who had no title
- Who will cry when you die?
- The Secret letters from the Monk who sold his Ferrari
Vile vile kuna vitabu vya Joel Osteen ambavyo ukisoma, anakutoa toka level moja ya kufikiri na kutenda na kukupeleka a higher leve. Soma
You will never regret knowing Joel Osteen
- Your best life now
- Become a better you
- Everyday a Friday
- Break out
- It's your time
Kwa vitabu vya inspiration, Robin Sharma ni mzuri sana. Tafuta Vitabu vinaitwa
- Family wisdom from the monk who sold his Ferrari
- The leader who had no title
- Who will cry when you die?
- The Secret letters from the Monk who sold his Ferrari
Vile vile kuna vitabu vya Joel Osteen ambavyo ukisoma, anakutoa toka level moja ya kufikiri na kutenda na kukupeleka a higher leve. Soma
You will never regret knowing Joel Osteen
- Your best life now
- Become a better you
- Everyday a Friday
- Break out
- It's your time
Huu uzi poa sana
natamani uwe stiky sehemu niwe naupitia kila mara!
shikamoo mleta uzi
Biblia