Kitabu gani bora cha kimataifa/kitaifa unachosoma kwa sasa au ulichowahi kusoma?

Kitabu gani bora cha kimataifa/kitaifa unachosoma kwa sasa au ulichowahi kusoma?

DENG XIAOPING

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2022
Posts
2,396
Reaction score
2,598
- Kwangu mimi kitabu Cha kimataifa ninachosoma kwa Sasa kinahusu MAGEUZI YA KISIASA NA KIUCHUMI CHINA CHINI YA DENG XIAOPING. “CHINA UNDER DENG XIAOPING POLITICAL AND ECONOMIC REFORM”.picha[emoji116]

Screenshot_20220518-204703.jpg


- Je wewe unasoma kitabu gani kwa Sasa au ushawahi kusoma kitabu gani.andika hapa chini pia ambatanisha pamoja na picha ya kitabu tafadhari Kama ikiwezekana[emoji116]
 
- Mimi kitabu Cha kimataifa ninachosoma kwa Sasa kinahusu MAGEUZI YA KISIASA NA KIUCHUMI CHINA CHINI YA DENG XIAOPING. “CHINA UNDER DENG XIAOPING POLITICAL AND ECONOMIC REFORM”.picha👇

View attachment 2229807

- Je wewe unasoma kitabu gani kwa Sasa au ushawahi kusoma kitabu gani.andika hapa chini pia ambatanisha pamoja na picha ya kitabu tafadhari Kama ikiwezekana👇
Tuambie ulichojifunza / kilichokuvutia.
 
Vizuri sana Kina madini kibao, Soft copy sijajua katafute google andika jina la kitabu malizia PDF labda, mm sina soft copy yake
Anhaa wacha nikitafute . Alafu Kama unaorodha yoyote ya vitabu kuhusu mapinduzi ya kiuchumi [ economic revolution] unaweza kunitajia Kama ikiwezekana
 
Back
Top Bottom