luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Ni ereader iyo mkuuA
App gani mkuu hii ya vitabu?🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ereader iyo mkuuA
App gani mkuu hii ya vitabu?🤔
Eh sasa ukisoma icho kitabu chake mkuu ndio utapata utamu zaidi na kuelewa reality na utatoka na conclusion nzuri.maana ktk.movie ile kuna vingine havikuwekwa.Halafu hio 13 hours in Benghazi nimewahi kuiona movie yake ni Kali Sana👍
Anhaa poa nitavichimba hivyo vitabu nikimaliza hiki Cha saa izi nachsoma👍Eh sasa ukisoma icho kitabu chake mkuu ndio utapata utamu zaidi na kuelewa reality na utatoka na conclusion nzuri.maana ktk.movie ile kuna vingine havikuwekwa.
Na kama uliwahi kutazama movie ya zero dark.thirty basi icho kitabu cha No easy day na chenyewe ni cinema yake
Naomba softcopy yake Kama unayo? MkuuVitabu ni vingi nilivyosoma, ila hivi ni bora,1. Introduction to sociology by Landis Landis, aisee hiki kitabu ukisoma kinahusu amerika miaka hiyo ya 1950, ila mazingira hayo ni mazingira yetu ya sasa Tanzania 2. Art of war tsun 3. The monk who sold ferrar hhivi Nina soft copy
AaNi ereader iyo mkuu
Poa , ila unge download art unakipataN
Naomba softcopy yake Kama unayo? Mkuu
Poa , ila unge download art unakipata
Mwandishi nani mkuuTHE SMALL BUSINESS BIBLE; kwa mtu anayetaka kumiliki kampuni/biashara kinafaa sana
Unaweza ku-dowload kupitia pdfdriveMwandishi nani mkuu
THE SMALL BUSINESS BIBLE; kwa mtu anayetaka kumiliki kampuni/biashara kinafaa sana
Vicheki kwenye pdfdriveNapenda vitabu vya finance na business in general una soft copy yake mkuu?
Vicheki kwenye pdfdrive
👍THINGS FALL APART by CHINUA ACHEBE.
Kipengele cha NWOYE kubadili dini kutoka kuabudu mizimu na kuwa Mkristo kilikuwa bomba sana.
Duuh kinaonekana kizuri sana🤔Nasoma How i found Livingstone. Kitabu bora sana. Safari ya HM Stanley kutoka Zanzibar kwenda Ujiji kumtafuta Dr Livingstone.
View attachment 2232134
Mi nipo napiga,Why nations fails,humu unapata ukweli kuhusu taasisi za kisiasa na kiuchumi zinavyochangia ukwasi na umaskini wa jamii.- Kwangu mimi kitabu Cha kimataifa ninachosoma kwa Sasa kinahusu MAGEUZI YA KISIASA NA KIUCHUMI CHINA CHINI YA DENG XIAOPING. “CHINA UNDER DENG XIAOPING POLITICAL AND ECONOMIC REFORM”.picha[emoji116]
View attachment 2229807
- Je wewe unasoma kitabu gani kwa Sasa au ushawahi kusoma kitabu gani.andika hapa chini pia ambatanisha pamoja na picha ya kitabu tafadhari Kama ikiwezekana[emoji116]
Daah hivi vitabu inaonekana konki tuma na picha za cover zake Kama itawezekanaMi nipo napiga,Why nations fails,humu unapata ukweli kuhusu taasisi za kisiasa na kiuchumi zinavyochangia ukwasi na umaskini wa jamii.
Kingine ni the looting machine,humu utaonyeshwa jinsi ufisadi unavyofanyika kwenye ngazi za maamuzi huko serikalini.ni hatari tupu.
Hicho Cha kwanza,utajua kwmaba mfumo wa kisiasa ndio unaamua nchi iwe na taasisi zipi za kiuchumi,na ushirikiano wa hizi taasisi mbili,Siasa na uchumi,ndio huamua hatima ya nchi,ukwasi(Mfa USA)au umaskini(mfano TZ),kwenye kutengeneza taasisi za kiuchumi,ama wenye madaraka watataka wanufaike wao binafsi au wataweka mifumo ya kunufaisha umma,na kama jamiii haiwezi kuwa control wenye mamlaka,sahau kabisa nchi hiyo kutajirika.
Wanasiasa inabidi waogope na waheshimu wananchi,maana wanaweza kutolewa Madarakani kwa kura,bila hivyo,watawaswaga kama ngombe,maana hawawategemei raia kuwa Madarakani(ccm na serikali yao).