Mi nipo napiga,Why nations fails,humu unapata ukweli kuhusu taasisi za kisiasa na kiuchumi zinavyochangia ukwasi na umaskini wa jamii.
Kingine ni the looting machine,humu utaonyeshwa jinsi ufisadi unavyofanyika kwenye ngazi za maamuzi huko serikalini.ni hatari tupu.
Hicho Cha kwanza,utajua kwmaba mfumo wa kisiasa ndio unaamua nchi iwe na taasisi zipi za kiuchumi,na ushirikiano wa hizi taasisi mbili,Siasa na uchumi,ndio huamua hatima ya nchi,ukwasi(Mfa USA)au umaskini(mfano TZ),kwenye kutengeneza taasisi za kiuchumi,ama wenye madaraka watataka wanufaike wao binafsi au wataweka mifumo ya kunufaisha umma,na kama jamiii haiwezi kuwa control wenye mamlaka,sahau kabisa nchi hiyo kutajirika.
Wanasiasa inabidi waogope na waheshimu wananchi,maana wanaweza kutolewa Madarakani kwa kura,bila hivyo,watawaswaga kama ngombe,maana hawawategemei raia kuwa Madarakani(ccm na serikali yao).