DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,396
- 2,598
Tuambie ulichojifunza / kilichokuvutia.- Mimi kitabu Cha kimataifa ninachosoma kwa Sasa kinahusu MAGEUZI YA KISIASA NA KIUCHUMI CHINA CHINI YA DENG XIAOPING. “CHINA UNDER DENG XIAOPING POLITICAL AND ECONOMIC REFORM”.picha👇
View attachment 2229807
- Je wewe unasoma kitabu gani kwa Sasa au ushawahi kusoma kitabu gani.andika hapa chini pia ambatanisha pamoja na picha ya kitabu tafadhari Kama ikiwezekana👇
Bado nipo nakisoma kwa Sasa nikimaliza nitaandaa uzi wakeTuambie ulichojifunza / kilichokuvutia.
Kwani wewe kitabu gani bora umewahi kusoma au unachosoma kwa sasaTuambie ulichojifunza / kilichokuvutia.
The wealth of nations (Adam smith)
[emoji106]Nasoma kitabu kinachohusu Financial Freedom nlkuwa nasoma Novel “The Hobbit” ila sasa hivi nasoma kitabu kinaitwa CASHFLOW QUADRANT
View attachment 2229993
Kipo vizuri lakini mkuu? Ninaweza kudownload soft copy yake kupitia wapi?[emoji848]Nasoma kitabu kinachohusu Financial Freedom nlkuwa nasoma Novel “The Hobbit” ila sasa hivi nasoma kitabu kinaitwa CASHFLOW QUADRANT
View attachment 2229993
Vizuri sana Kina madini kibao, Soft copy sijajua katafute google andika jina la kitabu malizia PDF labda, mm sina soft copy yakeKipo vizuri lakini mkuu? Ninaweza kudownload soft copy yake kupitia wapi?[emoji848]
Anhaa wacha nikitafute . Alafu Kama unaorodha yoyote ya vitabu kuhusu mapinduzi ya kiuchumi [ economic revolution] unaweza kunitajia Kama ikiwezekanaVizuri sana Kina madini kibao, Soft copy sijajua katafute google andika jina la kitabu malizia PDF labda, mm sina soft copy yake
Maoni yangu hamna kitabu kibaya ukisoma kitabu ukaona kibaya ujue wewe sio mlengwa wa ujumbe huo.Je kipo vizuri mkuu hii kitabu?
Sawa kiongozi nimekupata [emoji106]Maoni yangu hamna kitabu kibaya ukisoma kitabu ukaona kibaya ujue wewe sio mlengwa wa ujumbe huo.
Kuna huo mtabu wa Michael Zuckoff unaelezea tukio la shambulio la ubalozi wa US pale Benghaz ...
View attachment 2230458
Mkuunicho bafo ndio nilikuwa nipo ktk dibaji mikakiweka pembeni maana niko na huo mkwaju wa Osama hapoHii the hating game ndio adaptation ya movie au?
Mkuunicho bafo ndio nilikuwa nipo ktk dibaji mikakiweka pembeni maana niko na huo mkwaju wa Osama hapo
Eeh hamna waliiongezeka! Kumbe [emoji848]
Halafu hio 13 hours in Benghazi nimewahi kuiona movie yake ni Kali Sana👍Kuna huo mtabu wa Michael Zuckoff unaelezea tukio la shambulio la ubalozi wa US pale Benghaz ...
View attachment 2230458
App gani mkuu hii ya vitabu?🤔Kuna huo mtabu wa Michael Zuckoff unaelezea tukio la shambulio la ubalozi wa US pale Benghaz ...
View attachment 2230458