Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa katika hesabu hii

Kinafurahisha zaid ni kwamba Tumiaakili analost na wala harudi kwenye koment yan anatuchek tu tunavyohangaika na code bora hata Yoga
Ukisoma nyuzi zake za zamani alikuwa akijibu comments, walotuharibia walikuwa wale warusha mitusi ndomana Akawa anakausha.
 
Awali watu walilewa kwa furaha na kujiachia, mpaka alipokuja mwenye pombe mwenyewe na kuwalewesha watu kupitiliza. Hali hii imepelekea mamlaka kuhitaji kuchakata mambo kabla ya kuruhusu matumizi.
Uwepo wake umeleta maarifa mengine ambayo muasisi wa taifa alisema akipata mleweshaji mzuri kwa muongozo wa kitabu wanywaji watapata pombe itakayozidi ukali.
Ahsante kwa uwepo wa pombe imefanya matakwa ya wanywaji yafanyiwe kazi kabla pombe kali zaidi yakutokea na kuwazidi wanywaji.
 
Ilikua ni balaa.
 
 
Mkipanga mmepanga.safi sana
 
Juzi tuu huyo mstaafu alikuwa mgeni rasmi kwenye tukio fulani la Bank ya serikali na akatoa with..

Huyo huyo mstaafu yuko kwenye platform moja na Rais ya wajumbe wa Taasisi ya maji Kusini Mwa Afrika,sasa nyie mumekataje wakati na mwanae ni DM?
Habari za kikao Cha Dodoma ndugu, mlifunga ofisi kuhudhuria kikao.

Asante I sana kukubali KWELI tunayohubiri humu.

Tunapata KATIBA mpya nw. Amen
 
Mkuu Tumia Akili kile kitabu sasa tunaenda kukimalizia. Ni kitbu Almaarufu kama Cha Sinde Warioba
 
Habari za kikao Cha Dodoma ndugu, mlifungua ofisi kuhudhuria kikao.

Asante I sana kukubali KWELI tunayohubiri humu.

Tunapata KATIBA mpya nw. Amen
Kwa hili Ccm ya kina Kinana imeonesha ukomavu.

Nchi ni yetu sote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…