Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa katika hesabu hii

Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa katika hesabu hii

Mbona mimi naona kama sielewi vile, acha nijipe muda utasema.
 
Kuna kete ngumu sana zinasogezwa yeye mwenyewe kwa kujua na kuna kete ngumu zaidi zinasogezwa bila kujua nani anasogeza.

Baada ya watoto pendwa kutenguliwa mwezi uliopita wiki moja baadae makamu wake kichama akajivua wadhifa, from there ni mipango after mipango na kete zinasogezwa pole pole tu, nani atamuwahi mwenzake?? Nani atawahi kufika kingi??

Yale yote aliyoyapinga aliposhika hatamu, ndio yale yote aliyoyakataza late CEO na ndio anayafanya yeye pia sasa hivi. Yeyote atakayempinga ama zake ama za mpingaji. Tengua tengua hizi ni maandalizi ya kukabiliana na 2025,

Alikuwa chini ya uongozi inayoongoza nchi nje ya kitabu, kama binadamu wengine uvumilivu ukifika mwisho hakuna wa kuzuia shari ya mtu huyu kirahisi hasa akiwa na mamlaka makubwa au mwenye pesa nyingi.

Wale wafugaji walioandamana masikuu huko nyuma (Kete Ngumu)

Utekaji wa watu mashuuri na vifo vyao (Kete Ngumu)

Changamoto za SGR (Kete Ngumu)

Waropokoji kuhusu hali ya october, 2022, ukianza na Pena kabla ya kutenguliwa kuhusu namna chaguzi zinavyofanyika (Kete Ngumu), mkuu wa wilaya yule wanapotoka wafugaji (Kete Ngumu)

Ni mambo yanatokea kwa mfumo wa bahati mbaya ila behind the scene hakuna bahati mbaya.

Ukitazama matukio haya hajitokezi hadhari kuzungumzia, Kwa nini?? Alijifunza kwa late CEO, haina haja ya kunufaisha maadui hata kama wanakuumiza dawa na kulilia chumbani, ili wasione kama wamekugusa.

Kete zinasogezwa kwa pande zote mbili, NANI ATAWAHI KUINGIA KINGI”,.
Tiari mkuu
 
Back
Top Bottom