Yote ulioandika kuhusu mimi ni HISIA zako; kwanini uhisi wakati mi mwenyewe nipo hapa? Umeongea UONGO tena kama nilivyo sema mwanzoni kwamba dini yenu huwezi kuineza bila kuongea UONGO. Baba yangu alikua kiongozi mkubwa tu msikitini kwetu, sitaki kumtaja kwa jina kwakua jina langu pamoja na lako humu ni nick names; hivi wewe unataka kunambia yule Salmini Rashidie aliyeandika kile kitabu cha AYA ZA SHETANI hakukulia kwenye uislamu? Sijui una umri gani, but bila shaka either unajua au ulisimuliwa kuhusu lile tukio la uvunjaji wa mabucha ya nyamza za nguruwe mwaka 1992 Dar, vijana waliokua mstari wa mbele kwenye lile tukio walikua wameiva kweli kweli kwenye uislamu ( of course we pia hunijui mi nin nani ) na waliandaliwa hasa, wengi wao walikua watoto wa masheikh na hao vijana walikua ni wasomi wa dini vizuri, tukio lile liliongozwa na sheikh Kasimu kwa msikiti wa kwa Mtoro pamoja na sheikh Yahaya yule mnajimu but you know what? Baadhi ya wale vijana sasa hvi ni wachungaji, walipata misku suko mingi sana baada ya kubadiri dini, walinyang'anywa mali, nyumba nk but wapo hadi leo. Bila uongo, na fitina huwezi sambaza dini yenu. Ukisha nitaleta ushihidi mwingi kuhusu hili