Kitabu kipya: Mbinu bora za ufundi wa AC cha Mohamedy J Kamau

Camau1989

New Member
Joined
Jun 24, 2025
Posts
1
Reaction score
1
Habari wanajamii wa JamiiForums,

Napenda kuwajulisha kuwa nimeandika kitabu kipya kwa lugha ya Kiswahili kinachoitwa “Mbinu Bora za Ufundi wa AC”kilichoandikwa na mimi Mohamedy Joseph Kamau

Kitabu hiki:
  • Kinafafanua kwa ufasaha mbinu za kisasa za matengenezo, usakinishaji na uendeshaji wa mifumo ya Air Conditioning (AC).
  • Kimelenga kuwasaidia mafundi wa kati, wanafunzi wa vyuo vya ufundi, pamoja na wakandarasi wanaotaka kuongeza uelewa wao katika fani ya HVAC.
  • Kimeandikwa kwa Kiswahili ili kuongeza uelewa na kuongeza ujumuishi kwa wahitaji wa maarifa haya katika mazingira ya kazi au masomo.

Kwa mawasiliano au kupata nakala ya kitabu, wasiliana nami kwa:
📧 [email protected]
📞 +255 757 191 644

Nakaribisha maoni, ushauri, na fursa za ushirikiano kutoka kwa wadau mbalimbali.

Ahsanteni kwa kunisoma.
 
Attachments

  • D0C065A7-3632-42AD-B77F-EF527E4E0FEF.jpeg
    D0C065A7-3632-42AD-B77F-EF527E4E0FEF.jpeg
    226.6 KB · Views: 38
Habari wanajamii wa JamiiForums,

Napenda kuwajulisha kuwa nimeandika kitabu kipya kwa lugha ya Kiswahili kinachoitwa “Mbinu Bora za Ufundi wa AC”kilichoandikwa na mimi Mohamedy Joseph Kamau

Kitabu hiki:
  • Kinafafanua kwa ufasaha mbinu za kisasa za matengenezo, usakinishaji na uendeshaji wa mifumo ya Air Conditioning (AC).
  • Kimelenga kuwasaidia mafundi wa kati, wanafunzi wa vyuo vya ufundi, pamoja na wakandarasi wanaotaka kuongeza uelewa wao katika fani ya HVAC.
  • Kimeandikwa kwa Kiswahili ili kuongeza uelewa na kuongeza ujumuishi kwa wahitaji wa maarifa haya katika mazingira ya kazi au masomo.

Kwa mawasiliano au kupata nakala ya kitabu, wasiliana nami kwa:
📧 [email protected]
📞 +255 757 191 644

Nakaribisha maoni, ushauri, na fursa za ushirikiano kutoka kwa wadau mbalimbali.

Ahsanteni kwa kunisoma.
Keep hustlering,
 
Back
Top Bottom