Habari wanajamii wa JamiiForums,
Napenda kuwajulisha kuwa nimeandika kitabu kipya kwa lugha ya Kiswahili kinachoitwa “Mbinu Bora za Ufundi wa AC”kilichoandikwa na mimi Mohamedy Joseph Kamau
Kitabu hiki:
- Kinafafanua kwa ufasaha mbinu za kisasa za matengenezo, usakinishaji na uendeshaji wa mifumo ya Air Conditioning (AC).
- Kimelenga kuwasaidia mafundi wa kati, wanafunzi wa vyuo vya ufundi, pamoja na wakandarasi wanaotaka kuongeza uelewa wao katika fani ya HVAC.
- Kimeandikwa kwa Kiswahili ili kuongeza uelewa na kuongeza ujumuishi kwa wahitaji wa maarifa haya katika mazingira ya kazi au masomo.
Kwa mawasiliano au kupata nakala ya kitabu, wasiliana nami kwa:
📧
josephcamau660@gmail.com
📞 +255 757 191 644
Nakaribisha maoni, ushauri, na fursa za ushirikiano kutoka kwa wadau mbalimbali.
Ahsanteni kwa kunisoma.