Kitabu kipya: "Ujasusi Ni Nini Na Je Majasusi Wanafanya Kazi Gani Hasa?"

Mzalendo_Mwandamizi

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2007
Posts
1,117
Reaction score
4,772
Tangazo la kitabu kipya kuhusu taaluma ya Ujasusi. Bei sh 45,000/= (free delivery jijini Dar, mikoani sh 5,000/=). Whatsapp/M-Pesa 0767-340-975

Yaliyomo kitabuni

๐Ÿ‘‰Maana ya ujasusi

๐Ÿ‘‰ Historia ya Ujasusi

๐Ÿ‘‰ Aina za Ujasusi

๐Ÿ‘‰ Ujasusi wa kimtandao

๐Ÿ‘‰Ujasusi kama nyenzo ya diplomasia

๐Ÿ‘‰Ujasusi wa kidiplomasia

๐Ÿ‘‰Kifuniko (cover) cha Jasusi

๐Ÿ‘‰ Tofauti kati ya Ujasusi na Uafisa Usalama wa Taifa

๐Ÿ‘‰ Majasusi wanapatikanaje?

๐Ÿ‘‰Jinsi jasusi anavyopata watoa habari nje ya nchi na kujipenyeza eneo kusudiwa.

๐Ÿ‘‰ Majasusi kazini

๐Ÿ‘‰ Changamoto zinazoukabili ujasusi/majasusi duniani

๐Ÿ‘‰ Changamoto za ujasusi/majasusi Tanzania

๐Ÿ‘‰ Mashirika maarufu ya ujasusi duniani na majasusi maarufu duniani
 
Tumekutenga sana mkuu ngoja nichangie uzi,

Changamoto kubwa ni kwamba tukitaka kitabu unatupa location ya Zanzibar inamaana mjini Tz bara huna mtu wa kusambaza vitabu hivi kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ