Natarajia kuingiza kitabu hicho sokoni muda wowote kuanzia sasa, nitakuwa pia nakiuza kama soft copy. Kitabu hicho kimefanya uchambuzi wa aina mbalimbali za mikopo, kimelinganisha na kufanya uchambuzi wa mikopo na riba toka taasisi mbalimbali za kifedha na kutoa mapendekezo kwa wajasiliamali wapi penye unafuu wa kukopa. Pia kitatoa taarifa mbalimbali za taasisi za kifedha kwa wakopaji. Usikose nakala yako.