Kitabu - Nikope wapi?: Kwa Wajasiriamali

Kitabu - Nikope wapi?: Kwa Wajasiriamali

AMKA SASA

Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
34
Reaction score
9
Natarajia kuingiza kitabu hicho sokoni muda wowote kuanzia sasa, nitakuwa pia nakiuza kama soft copy. Kitabu hicho kimefanya uchambuzi wa aina mbalimbali za mikopo, kimelinganisha na kufanya uchambuzi wa mikopo na riba toka taasisi mbalimbali za kifedha na kutoa mapendekezo kwa wajasiliamali wapi penye unafuu wa kukopa. Pia kitatoa taarifa mbalimbali za taasisi za kifedha kwa wakopaji. Usikose nakala yako.
 
Mkuu tufanye biashara mm ni mchapishaji wa vitabu mbalimblai na docs mbalimbali hivyo usisite kuwasiliana nami kwa habari za uchapaji na mambo ya graphics kiujumla karibu kwa huduma hizi
natarajia kuingiza kitabu hicho sokoni muda wowote kuanzia sasa, nitakuwa pia nakiuza kama soft copy. Kitabu hicho kimefanya uchambuzi wa aina mbalimbali za mikopo, kimelinganisha na kufanya uchambuzi wa mikopo na riba toka taasisi mbalimbali za kifedha na kutoa mapendekezo kwa wajasiliamali wapi penye unafuu wa kukopa. Pia kitatoa taarifa mbalimbali za taasisi za kifedha kwa wakopaji. Usikose nakala yako.
 
Back
Top Bottom