baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Ukosefu wa ajira kwa vijana amabo ni GenZ hawa ndo wanafanya ccm wanalala macho wazi pamoja na vitisho vyote lakini vijana wa Ge-z waliweza kutoka nje October 29 bila kuogopa. Kwa mbegu iliyopandwa October 29 wasifikiri Gen Z wamekubali yaishe pamoja na kuona wenzao wanapigwa risasi marafi ndugu naweza kusema Gen Z ndo kama wamepata ujasiri mpya kabisa maana hawana cha kupoteza.
Serikali kama hisipoangalia changamoto ya ajiria kwa hawa vijana litakua anguko la chama ya wala CCM wamejaa viburi huwezi kusema chochote wakakuskia wangelikua wanasikiliza ya October 29 yasingeweza kutokea.
Mwana CCM mwenzangu Polepole alizungumza mengi mkaishia kumpuuza na kumchukua na kumpeleka mnapojua wenyewe lakini bado hiyo sio dawa CCM punguzeni propaganda za zamani mtu akizungumza ukweli sijui mpinzani au anatumiwa na mabeberu hizi propaganda ni zakitambo sana vijana wa siku hizi wanauelewa mkubwa sana ongeza na technologyia kuna siku mtakuja kutafuta mchawi nani.