troiker
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 1,550
- 2,578
Kuna nguvu kubwa inatumika na wafuasi wa Mbowe kuwaaminisha watanzania na dunia kwa ujumla kwamba mashitaka ya Mbowe ni ya kisiasa ,hasa katiba mpya.
Iwe katiba mpya au ugaidi, na kwakua polisi wamekamilisha uchunguzi wao,tuiachie mahakama iweze kutafsiri tuhuma hizo,sioni kabisa Rais Samia kuingilia uamuzi wa mahakama,kwa mujibu wa maelezo ya mahojiano yake na BBC.
Kitendo cha kung'ang'ania ya kuwa Mbowe kabambikwa kesi ni kuiingilia uhuru wa mahakama.
Kila mmoja wetu anaweza kutuhumiwa ,kupatikana na hatia ni suala lingine.
Angalizo,tumejaribu kuiaminisha dunia kupitia vyombo mbalimbali vya kimataifa juu kadhia hii,halikadhalika kupitia balozi zinazowakilisha nchi zao ,hasa wahisani , kuhusu respond yao tuna jambo la kujifunza ,tofauti na utawala wa hayati Magufuli.
Hii inadhirisha maslahi yao kwa sasa yapo salama sana,na ndio kawaida ya hawa wenzetu,punda afe mzigo ufike.
Imani yangu mahakama itatenda haki kukwepa aibu yoyote dhidi yake