ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,860
Huenda hata asingekuwepo umoja ulioletwa na Mwalimu si ajabu ukawezesha baba na mama yake kukutanaKina nyerere na mandera wasingejitoa tungekuwa bado tunatawaliwa
Huenda hata asingekuwepo umoja ulioletwa na Mwalimu si ajabu ukawezesha baba na mama yake kukutanaKina nyerere na mandera wasingejitoa tungekuwa bado tunatawaliwa
nenda basi weweKina nyerere na mandera wasingejitoa tungekuwa bado tunatawaliwa
Hujui na wewe unaweza kulala huko siku yoyote au unafikiri wanaolala huko ni wale wanaotuhumiwa kwa ugaidi?Akili za kitoto kabisa kutoka kwa mtt wa kikeJamaa sasa hivi kalala juu ya sement ya baridii ilihal kaacha kitanda na godoro vya moto moto nyumbani! Mambo mengine bwana hayana faida
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamewaachia Chadema zimwi lao wa-deal nalo wenyeweKwamba majamaa hata hawana habari 🙂
Uhuru una gharama zake lakini nyinyi mpo huku JF mnachngulia uzi wa kula tunda kimasihara bila pressure.Mkuu hawa vijakazi vya CCM havielewi kuwa Uhuru una gharama zake
Jamaa sasa hivi wakishindwa hoja wanakuombea ufe 😂😂😂😂😂😂😂Nyie mliposhangilia kifo cha Magufuli na sasa mnamwombea Samia afe ni binadamu au mashetani?
Uhuru ulisha patikana - Mkapa alisema ni mpumbavu anayetafuta uhuru katika nchi inayojitawala. Gandhi Mbowe amedanganywa.Mkuu hawa vijakazi vya CCM havielewi kuwa Uhuru una gharama zake
Wamesahau walikuwa wanasema Covid ndiyo ilimuua JPM, now wanasema dua na maombi yaoJamaa sasa hivi wakishindwa hoja wanakuombea ufe 😂😂😂😂😂😂😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wamewaachia Chadema zimwi lao wa-deal nalo wenyewe
Uhuru upo kwa wapumbavu wa CCM wengine hawapo huru bweha weweUhuru ulisha patikana - Mkapa alisema ni mpumbavu anayetafuta uhuru katika nchi inayojitawala. Gandhi Mbowe amedanganywa.
Wewe upo huru ukiwa unachuma mboga au unapakwa mafuta?Uhuru una gharama zake lakini nyinyi mpo huku JF mnachngulia uzi wa kula tunda kimasihara bila pressure.
Ama kweli wajinga ndio waliwao.
Nilikuwa najaribu kuwaza ni aina gani ya fala wewe kuna mtu pembeni akanidokeza ufala wako ni aina ya kiccm nikamuelewaWafuasi wa Mbowe wamechoka,wamelegea kabisa yani.wajaze bando waingie mtandaoni wamtoe Mbowe,hizi ndo akili zao zilipoishia.
Najihisi vibaya kujitanabaisha kuwa Mtanzania.Watu waungwana wote wanfahamu kwamba Mh.Mbowe siyo gaidi na kesi yake ni fake ila kwa unafiki wetu tunaogopa kusimama kusema ukweli!Halafu tunajinadi sisi ni kisiwa cha amani?Hivi huwa kuna amani bila Haki?Tusijitoe ufahamu bila sababu za msingi.Jamaa sasa hivi kalala juu ya sement ya baridii ilihal kaacha kitanda na godoro vya moto moto nyumbani! Mambo mengine bwana hayana faida
Sent using Jamii Forums mobile app