MsituzingueeKuna nguvu kubwa inatumika na wafuasi wa Mbowe kuwaaminisha watanzania na dunia kwa ujumla kwamba mashitaka ya Mbowe ni ya kisiasa ,hasa katiba mpya.
Iwe katiba mpya au ugaidi, na kwakua polisi wamekamilisha uchunguzi wao,tuiachie mahakama iweze kutafsiri tuhuma hizo,sioni kabisa Rais Samia kuingilia uamuzi wa mahakama,kwa mujibu wa maelezo ya mahojiano yake na BBC.
Kitendo cha kung'ang'ania ya kuwa Mbowe kabambikwa kesi ni kuiingilia uhuru wa mahakama.
Kila mmoja wetu anaweza kutuhumiwa ,kupatikana na hatia ni suala lingine.
Angalizo,tumejaribu kuiaminisha dunia kupitia vyombo mbalimbali vya kimataifa juu kadhia hii,halikadhalika kupitia balozi zinazowakilisha nchi zao ,hasa wahisani , kuhusu respond yao tuna jambo la kujifunza ,tofauti na utawala wa hayati Magufuli.
Hii inadhirisha maslahi yao kwa sasa yapo salama sana,na ndio kawaida ya hawa wenzetu,punda afe mzigo ufike.
Imani yangu mahakama itatenda haki kukwepa aibu yoyote dhidi yake

Kina nyerere na mandera wasingejitoa tungekuwa bado tunatawaliwaJamaa sasa hivi kalala juu ya sement ya baridii ilihal kaacha kitanda na godoro vya moto moto nyumbani! Mambo mengine bwana hayana faida
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hawa vijakazi vya CCM havielewi kuwa Uhuru una gharama zakeKina nyerere na mandera wasingejitoa tungekuwa bado tunatawaliwa
Maduanzi sana hayo [emoji38]Kwamba majamaa hata hawana habari [emoji846]
Jibu swali.. kuhusu katiba mpya? Mbona unarukaruka tu km kunguruWewe nini kimekuingia ukatulia?
Nyie mliposhangilia kifo cha Magufuli na sasa mnamwombea Samia afe ni binadamu au mashetani?Na nyie ni binadamu kweli au mashetani?
Tulieni mahakama ifanye kazi yake, uoga wa nini? Kuna mdau kauliza hapo juu vipi kuhusu harakati za katiba mpya, zinaanza lini tena? Au mmeshaufyata kama kawaida yenu keyboard warriors.Mbowe hahitaji kutetewa, Polisi ndio watakaomsafisha wenyewe...
Maza alisema ni September Ndugu.Wanaouliza kwa nini Mbowe amekamatwa sasa na si vinginevyo wanasahau kuwa Mbowe, Lema, Meya wa zamani Ubungo Boniface walikamatwa mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa na kabla Rais hajaapishwa kwa kuchochea maandamano yasiyo na kikomo kupinga matokeo. Mambosasa alihojiwa na vituo vya ITV na TBC na kutoa madai hayo hayo ya ugaidi.
Hawa kenge hutakiwi kuwajibu kistaarabu! Hawajui ustaarabu hawaMaza alisema ni September Ndugu.
Halafu kwa nini wasingemhifadhi huko Magerezani kama wengine?