𝘽𝘼𝙍𝙐𝘼 𝙔𝘼 𝙒𝘼𝙕𝙄 𝙆𝙒𝘼 𝙐𝙊𝙉𝙂𝙊𝙕𝙄 𝙒𝘼 𝙏𝙄𝙈𝙐 𝙔𝘼 𝙔𝙊𝙐𝙉𝙂 𝘼𝙁𝙍𝙄𝘾𝘼𝙉𝙎
(𝐘𝐀𝐍𝐆𝐀)
13/10/2022
Habari ndugu viongozi wa timu yangu pendwa 𝙙𝙖𝙧 𝙚𝙨 𝙨𝙖𝙡𝙖𝙖𝙢 𝙔𝙤𝙪𝙣𝙜 𝘼𝙛𝙧𝙞𝙘𝙖𝗻𝙨, au kama mnavojiita kiswahili 𝗬𝗮𝗻𝗴𝗮, au mnavotambulika 𝗧𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝘄𝗮𝗻𝗮𝗻𝗰𝗵𝗶.
Kwanza kabisa nitoe kongole kwenu viongozi na wote mlioiwezesha Yanga kufikia hapa ilipo leo hii. Yanga ambayo ikihitaji goli kwa wakati wowote inalipata, Yanga ambayo inacheza kwa ufundi wa hali ya juu sana, japo wanakosa umakini tu. Yanga ambayo ni 𝘂𝗻𝗯𝗲𝗮𝘁𝗲𝗻 kwenye mashindano yote iliyocheza 𝘧𝘰𝘳 𝘮𝘰𝘳𝘦 𝘵𝘩𝘢𝘯 𝘢 𝘺𝘦𝘢𝘳 (366+ 𝘥𝘢𝘺𝘴).
Kiukweli mmetupa kujiamini sana mashabiki wenu, mmetuheshimisha pia hilo halipingwi hata ukimuuliza 𝗔𝗵𝗺𝗲𝗱 𝗔𝗹𝗹𝘆 analijua hilo.
- Mashabiki wa Yanga tunauwezo wa kuvaa jezi zetu bila kubuguziwa popote pale duniani.
- Mashabiki wa Yanga tunauwezo wa kulipa kiingilio chochote kile kitakachopangwa, hii inatokana na kazi nzuri iliyofanywa na viongozi ambao wametuletea wachezaji wakubwa wenye uwezo ambao leo hii hata Shirikisho la Soka Barani Afrika (𝘾AF) wanaitupia jicho Yanga kuona itafanya nini ikiwa na wachezaji hawa.
𝗖
AF mpaka mda huu imeshapokea [emoji460][emoji460][emoji460]𝗵𝗮𝘁𝗿𝗶𝗰𝗸 2 kutoka kwa mchezaji mmoja ndani ya mechi mbili tu, kitu ambacho kwenye historia yangu kwenye mashindano haya haijawahi kutokea, labda miaka ya 80 kurudi nyuma kabla sijazaliwa.
Sio hivyo tu, hakuna mchezaji yeyote anayechezea timu za Afrika ambaye amewahi kufunga goli [emoji460] 7 ndani ya mechi tatu mfulizo kwenye mashindano ya 𝘾
AF[emoji818]︎[emoji818]︎[emoji818]︎
𝙏𝙪𝙧𝙪𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙚𝙣𝙮𝙚 𝙥𝙤𝙞𝙣𝙩𝙞,
Tunajiandaa kucheza ugenini kumalizia mechi yetu ya pili dhidi ya 𝘼𝙡-�
H𝙞𝙡𝙖𝙡, Yanga sio mgeni kwenye hatua ya mtoano tofauti na watu wengi wanavyoichukulia.
𝐍𝐢𝐭𝐚𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚 𝐦𝐟𝐚𝐧𝐨 𝐮𝐥𝐢𝐨 𝐡𝐚𝐢.
Katika mfano huu nitawatumia 𝐀𝐥 𝐀𝐡𝐥𝐲 maana ndio timu kubwa na inayoogopwa Africa ukilinganisha na hao 𝐀𝐥
H𝐢𝐥𝐚𝐥 wanaocheza na 𝐘𝐨𝐮𝐧𝐠 𝐀𝐟𝐫𝐢𝐜𝐚𝐧𝐬.
- Mwaka 2014 Yanga ilishawahi kucheza na Al Ahly kwenye hatua hii hii ya mtoano, uwanja wa mkapa tarehe 01/03/2014, Yanga ikiibuka na ushindi mwembamba wa goli 1-0 dakika ya 82 𝙉𝙖𝙙𝙧𝙞 𝙃𝙖𝙧𝙤𝙪𝙗 𝘾𝙖𝙣𝙖𝙫𝙖𝙧𝙤 akiwainua wananchi. Ila kwa bahati mbaya ukichanganya na figisu zote za Waarabu lakini Yanga tarehe 09/03/2014 ilipoteza mechi ya ugenini 1-0 na 𝐀𝐥 𝐀𝐡𝐥𝐲 wakapita kwa mikwaju ya penalti. Wenye kumbukumbu nafikiri wanajua mechi ilikuwaje, 𝗕𝘂𝗴𝗴𝗮𝘁𝗶 naomba uwakumbushe wana Simba juu ya hili tafadhari.
- Mwaka 2016 𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚 walikutana tena na Al Ahly mechi ya kwanza tarehe 09/04/2016 kwa Mkapa, mechi ikiisha kwa sare ya 1 : 1. Wakati mechi ya pili ikipigwa tarehe 20/04/2016 pale Misri ambapo mpaka dk. ya 90 ya mchezo matokeo yakiwa yanasoma 1 : 1 (2-2agreegate), zikaongezwa dk 4 mechi ikiisha kwa 𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚 kupoteza mechi dakika za nyongeza. Dakika ya 93' 𝐀𝐥 𝐀𝐡𝐥𝐲 2 : 1 𝐘𝐨𝐮𝐧𝐠 𝐀𝐟𝐫𝐢𝐜𝐚𝐧𝐬, goli pekee la 𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚 likifungwa na 𝐃𝐨𝐧𝐚𝐫𝐝 𝐍𝐝𝐨𝐦𝐛𝐨 𝐍𝐠𝐨𝐦𝐚.
Kwaiyo Yanga huwa siyo waoga kwa mechi za ugenini, popote mpira unachezwa, popote ushindi unatafutwa.
𝗗𝗵𝘂𝗺𝘂𝗻𝗶 𝗹𝗮 𝗕𝗮𝗿𝘂𝗮 𝗵𝗶𝗶;
𝐍𝐢𝐤𝐢𝐰𝐚 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐦𝐬𝐡𝐚𝐛𝐢𝐤𝐢 𝐰𝐚 Y𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐤𝐢𝐧𝐝𝐚𝐤𝐢𝐧𝐝𝐚𝐤𝐢, 𝐧𝐚𝐰𝐚𝐨𝐦𝐛𝐚 𝐮𝐨𝐧𝐠𝐨𝐳𝐢 𝐰𝐚 𝗬𝗼𝘂𝗻𝗴 𝗔𝗳𝗿𝗶𝗰𝗮𝗻𝘀 𝒖𝒌𝒂𝒆 𝒄𝒉𝒊𝒏𝒊 𝒌𝒖𝒘𝒆𝒌𝒂 𝒃𝒂𝒋𝒆𝒕𝒊 𝒚𝒂 𝒎𝒂𝒑𝒐𝒌𝒆𝒛𝒊 𝒚𝒂 𝒕𝒊𝒎𝒖 𝒚𝒆𝒕𝒖 𝒘𝒂𝒌𝒂𝒕𝒊 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒕𝒐𝒌𝒂 𝑺𝒖𝒅𝒂𝒏𝒊.
M𝒊𝒎𝒊 𝒏𝒂 𝒎𝒂𝒔𝒉𝒂𝒃𝒊𝒌𝒊 𝒘𝒆𝒏𝒛𝒂𝒏𝒈𝒖 𝒎𝒕𝒂𝒕𝒖𝒌𝒖𝒕𝒂 𝐀𝐢𝐫𝐩𝐨𝐭 𝒕𝒖𝒏𝒂𝒔𝒖𝒃𝒊𝒓𝒊 𝒌𝒖𝒘𝒂𝒑𝒐𝒌𝒆𝒂 𝒏𝒂 𝒌𝒖𝒘𝒂𝒔𝒊𝒏𝒅𝒊𝒌𝒊𝒛𝒂 𝒎𝒑𝒂𝒌𝒂 𝑶𝒇𝒊𝒔𝒊𝒏𝒊. 𝒏𝒊 𝒎𝒂𝒕𝒖𝒎𝒂𝒊𝒏𝒊 𝒚𝒂𝒏𝒈𝒖 𝒕𝒖𝒏𝒂𝒓𝒖𝒅𝒊 𝒌𝒊𝒇𝒖𝒂 𝒎𝒃𝒆𝒍𝒆 𝒏𝒂 𝒏𝒊𝒘𝒂𝒕𝒐𝒆 𝒉𝒐𝒇𝒖 𝒘𝒂𝒍𝒆 𝒘𝒐𝒕𝒆 𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆 𝒘𝒂𝒔𝒊𝒘𝒂𝒔𝒊 𝒋𝒖𝒖 𝒚𝒂 𝒀𝒂𝒏𝒈𝒂 𝒌𝒖𝒕𝒐𝒌𝒂𝒏𝒂 𝒏𝒂 𝒎𝒂𝒕𝒐𝒌𝒆𝒐 𝒘𝒂𝒍𝒊𝒚𝒐𝒑𝒂𝒕𝒂 𝒏𝒚𝒖𝒎𝒃𝒂𝒏𝒊.
𝒔𝒊𝒛𝒖𝒏𝒈𝒖𝒎𝒛𝒊𝒊 𝒌𝒖𝒔𝒉𝒊𝒏𝒅𝒂 𝒌𝒘𝒂 𝒔𝒂𝒃𝒂𝒃𝒖 𝒚𝒂 𝒌𝒖𝒔𝒊𝒌𝒊𝒂
Y𝒂𝒏𝒈𝒂 𝒊𝒎𝒆𝒂𝒉𝒊𝒅𝒊𝒘𝒂
1 𝒃𝒊𝒍𝒍𝒊𝒐𝒏 𝒊𝒌𝒊𝒇𝒖𝒛𝒖 𝒍𝒂 𝒉𝒂𝒔𝒉𝒂, 𝒏𝒂𝒊𝒛𝒖𝒏𝒈𝒖𝒎𝒛𝒊𝒂 𝒀𝒂𝒏𝒈𝒂 𝒌𝒂𝒕𝒊𝒌𝒂 𝒖𝒉𝒂𝒍𝒊𝒔𝒊𝒂 𝒏𝒊𝒏𝒂𝒗𝒚𝒐𝒊𝒋𝒖𝒂 𝒀𝒂𝒏𝒈𝒂.
𝙔𝙖𝙣𝙜𝙖 𝙩𝙪𝙣𝙖𝙞𝙣𝙜𝙞𝙖 𝙢𝙖𝙠𝙪𝙣𝙙𝙞 𝙞𝙬𝙚 𝙢𝙫𝙪𝙖 𝙞𝙬𝙚 𝙟𝙪𝙖[emoji123][emoji123][emoji123].
[emoji3575][emoji3575][emoji3575]
"𝗠𝗽𝗶𝗿𝗮 𝘂𝗻𝗮 𝗺𝗮𝘁𝗼𝗸𝗲𝗼 𝗺𝗮𝘁𝗮𝘁𝘂 𝗵𝗮𝗶𝗷𝗮𝗹𝗶𝘀𝗵𝗶 𝘂𝘁𝗮𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝘂𝘄𝗮𝗻𝗷𝗮 𝗴𝗮𝗻𝗶, 𝘢𝘤𝘩𝘦𝘯𝘪 𝘥𝘩𝘢𝘯𝘢 𝘱𝘰𝘵𝘰𝘧𝘶 𝘺𝘢 𝘬𝘶𝘢𝘮𝘪𝘯𝘪𝘴𝘩𝘸𝘢
h𝘰𝘮𝘦 𝘢𝘥𝘷𝘢𝘯𝘵𝘢𝘨𝘦"
𝗬𝗼𝘂𝗻𝗴 𝗦𝗵𝗮𝗿𝗼.
𝗔𝘀𝗮𝗻𝘁𝗲𝗻𝗶 𝘄𝗲𝗻𝘂 𝘀𝗵𝗮𝗯𝗶𝗸𝗶 𝗸𝗶𝗻𝗱𝗮𝗸𝗶𝗻𝗱𝗮𝗸𝗶
𝒕𝒖𝒌𝒖𝒕𝒂𝒏𝒆 𝒋𝒖𝒎𝒂𝒑𝒊𝒍𝒊 𝒕𝒂𝒓𝒆𝒉𝒆
16/10/2022[emoji818]︎[emoji818]︎[emoji818]︎ 𝗔𝗭𝗔𝗠 𝗧𝗩.
[emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488]
I͟m͟e͟a͟n͟d͟i͟k͟w͟a͟ n͟a͟
𝙔𝙊𝙐𝙉𝙂 𝙎𝙃𝘼𝙍𝙊
View attachment 2386011