Kitakachokukwamisha Waziri Lukuvi kuiokoa NHC hiki hapa

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,778
Reaction score
7,145
Jf

Naona anguko la NHC baada ya kususua kwa biashara nyingi Mjini linakuja kwa kasi, huku wafanyabiashara Mjini wakizidi kufunga biashara kwa kasi.

Kinachokukwamisha ni kutojua kuwa wengi wa wafanyabiashara walikuwa wasimamizi tu , biashara nyingi zilikuwa za mawaziri na makatibu wakuu.

Ofisi nyingi zilimulikiwa na ndugu na Jamaa wa viongozi ambao wengi wamejichomoa kuogoba Mkulu, wengine wamefilisika baada ya njia za panya kuzibwa kwa magunzi makavu.

Biashara za upigaji wengi walikimbilia national Housing kwa kuwa malipo kwa mwezi yalikuwa afadhali.

Mchechu wakati anapandisha bei holela alikuta fedha za mangumshi nyingi akadhani endelevu. Lukuvi unaangaika sana kutaka kutaja watu, hiyo haisaidii kwani utawawafilisi bure wakati washajifia.

Lukuvi omba mkutano na wapangaji wakupe wayaonayo siyo kukazania kuwashitaki na kuwanyanganya Mali.
 
Wanaanzishaga matatizo ambayo negative outcome yake inafahamika mapema isipokuwa kwao.

Muda wa madhara unapofika kwa time table yao ambapo awawezi ficha tena maradhi badala ya kukubali makosa waliyotenda huko nyuma na kutafuta suluhisho la kudumu wanatafuta scapegoats wa nje.

Matatizo ya NHC yametengenezwa na NHC wenyewe; na bado kuna watu vichwa ngumu mule ndani wenye tamaa. Nyumba kama wanaitaka itapigwa kodi maradufu kushinda ya jirani na Lukuvi wala aoni shida utaratibu huo wala M.D wa shirika.
 
Yaani umenielewa vibaya mno, nilijaribu kudododa wanakwama wapi majengo yanakuwa magofu, nikaambiwa ukiritimba na ukale. Ona wizra ya afya wameona mbali majengo yao yameguzwa shule za awali. Lukuvi anakuwa mgumu kuendekeza fedhaambayo hawawezi kuzipata kwa makabwela
 
Kajipange upya, waweza kuwa na hoja nzuri ila uwezo wa kuiwasilisha huna

Nakuunga mkono, mdau anaonekana kuwa na taarifa nzuri na ushauri mzuri tatizo ni uwasilishaji.

Kama anaweza aongelee kitu kimoja kimoja
 
Jf

Naona anguko la NHC baada ya kususua kwa biashara nyingi Mjini linakuja kwa kasi, huku wafanyabiashara Mjini wakizidi kufunga biashara kwa kasi.

Kinachokukwamisha ni kutojua kuwa wengi wa wafanyabiashara walikuwa wasimamizi tu , biashara nyingi zilikuwa za mawaziri na makatibu wakuu.

Ofisi nyingi zilimulikiwa na ndugu na Jamaa wa viongozi ambao wengi wamejichomoa kuogoba Mkulu, wengine wamefilisika baada ya njia za panya kuzibwa kwa magunzi makavu.

Biashara za upigaji wengi walikimbilia national Housing kwa kuwa malipo kwa mwezi yalikuwa afadhali.

Mchechu wakati anapandisha bei holela alikuta fedha za mangumshi nyingi akadhani endelevu. Lukuvi unaangaika sana kutaka kutaja watu, hiyo haisaidii kwani utawawafilisi bure wakati washajifia.

Lukuvi omba mkutano na wapangaji wakupe wayaonayo siyo kukazania kuwashitaki na kuwanyanganya Mali.
Mzee wa watu anajitahidi sana ila ndio hivyo mazingira hayaruhusu, watu uchumu hakuna, ili afanikiwe anahitaji sekta binafsi ifufuke ndio kazi anayoifanya ita boom. pongezi zake kwa kwa juhudi anazozifanya.
 
Nakuunga mkono, mdau anaonekana kuwa na taarifa nzuri na ushauri mzuri tatizo ni uwasilishaji.

Kama anaweza aongelee kitu kimoja kimoja
1. Nhc waachane na Sera iliyoachwa na Anenia kwani ilikuwa ya kifisadi wao waendane na uchumi halisi kutokana na wateja wao maskini.
2. Ofs zilichokimbiwa na wapangaji zibadirishwe wapewe wapangaji wakazi kw sbabu hakuna biashra
3. Mqjengo yao mabovu wayakarabati yavutie
4. Lukuvi aangalie uwezekano Wa kupunguza kodi ambazo hazilipiki tusijekuzalisha masikini wapya kwa kuwanyanganya Mali.
 
4AC17AFC-3B48-4393-83ED-C6C043155023.jpeg

1CC7B291-4507-43A6-AB10-A6DBF01F0CF7.jpeg

Kwa sasa hilo shirika halina tofauti na ‘drug addict’ kutokana na hali yake ya madeni. Not sure if things have changed since 2018 ila lilikuwa linatengeneza operation losses kila mwaka kurudi nyuma.

Ata 2017 walitengeneza loss, kilichofanya waonekane kama wamepata faida ni revaluation gain on assets being included in the costs of sales. That is not an income it’s supposed to be included at the bottom after the operation profit/loss income has been declared. Thereafter revaluation gain is included to show comprehensive income.

Ndio maana unaona revaluation ya 2018 imeonyesha picha halisi (baada ya kupunguza assets value) ila 2017 hakukuwa na faida pia ya operation.

Ukiangalia non current liabilities zao wana deni la karibu 1.3 trillion shillings, ambapo asilimia kubwa ni malimbikizo ya kodi za nyuma. Si ajabu walikuwa wanaachiwa ili wapunguze madeni ya wachina aliyochukua Nehemia ambayo na yenyewe yalifika almost trillion shillings.

Kwa statement hiyo ya NHC kupunguza kodi za pango ni matatizo kwa sasa ukizingatia debt commitment walizonazo huku mapatato yao yanashuka annually.

It’s ‘catch 22’ ni tatizo zaidi kwa sababu uwezo wa wapangaji kulipa rent za sasa ni mdogo pia kwa rate za sasa. Solution ni kodi lazima ishuke amasivyo watapoteza wapangaji na mapato zaidi.

Waliopandisha kodi hawakufikiria that was not a sustainable plan watanzania kwa mapato halali awawezi mudu kodi zao in the long run. Yote hiyo ilikuwa chini ya yule C.E.O kilaza the so called banker msomi (JF bwana kuna watu wanajua kupamba) mtu hajui ata kufanya risk assessment ya investment zake wakati anaanza tu wengine walikuwa wanaonya how it will all end, ila alisifiwa balaa humu ndani.

Matokeo yake ndio hayo watu wanashindwa lipa rents, mapato yanashuka huku, kuna obligations za non current liabilities za 1.3 trillion.

Hali ni mbaya kwenda mbele serikali inabidi isamehe tax inazodai NHC ili shirika lipate pumzi, waweze kujipanga upya, washushe kodi za mapango na kufanya watu wagombanie nyumba zao kama ilivyokuwa kabla ya Nehemia. Vinginevyo people will suffer, more so wapangaji wa hayo majengo kwa makosa ya kimkakati yaliyofanywa na Nehemia na hali ya NHC itazidi kuwa ovyo ukizingatia serikali inaelekea Dodoma leaving more empty properties in Dar.

Besides it’s time to conduct another revaluation of assets, miradi mingi ya Nehemia aina market value kama NHC walivyokuwa wanainadi kwa ivyo kuna misrepresented value of assets on the books kuliko uhalisia wa sokoni.

Haya ndio madhara ya watanzania kukuza watu viazi, Banker wa kusifia Tanzania ni Kimei tu. Wengine bado wanajejingea hizo sifa na kati yao uwezi mweka Nehemia.
 
Kiratha, sina cha kukujibu umemaliza yote, kama kuna mods haiweke vizuri ili Lukuvi ajue kilichomo. Labda kuna vitu anafichwa. Nehemiah alipewa kichwa sana mabenk yakamkopesha, sasa Tanzania wakawaida awezi nunua nyumba million 150 zilizopangwa mistari kama madebe wakati Viwanja vizuri vipo. kiratha nakuomba thread hii uiweke vizuri itaisaidia body kumweleza ukweli Rais same he Madeni ili wapunguze kodi. Pia Lukuvi atuambie kwanini majengo ya serikali yenye kesi yasihishe nyumba zikaanza kutumika mfano embassy hotel, motel agip yote magofu
 
View attachment 1668906

View attachment 1668908

Kwa sasa hilo shirika halina tofauti na ‘drug addict’ kutokana na hali yake ya madeni. Not sure if things have changed since 2018 ila lilikuwa linatengeneza operation losses kila mwaka kurudi nyuma.

Ata 2017 walitengeneza loss, kilichofanya waonekane kama wamepata faida ni revaluation gain on assets, that’s not an income it’s supposed to be added at the bottom after the operation profit/loss income has been declared. Thereafter revaluation gain is to show comprehensive income.

Ndio maana unaona revaluation ya 2018 imeonyesha picha halisi (baada ya kupunguza assets value) ila 2017 hakukuwa na faida pia ya operation.

Ukiangalia non current liabilities zao wana deni la karibu 1.3 trillion shillings, ambapo asilimia kubwa ni malimbikizo ya kodi za nyuma. Si ajabu walikuwa wanaachiwa ili wapunguze madeni ya wachina aliyochukua Nehemia ambayo na yenyewe yalifika almost trillion shillings.

Kwa statement hiyo ya NHC kupunguza kodi ni matatizo kwa sasa ukizingatia debt commitment walizonazo huku mapatato yao yanashuka annually.

It’s ‘catch 22’ ni tatizo zaidi kwa sababu uwezo wa wapangaji kulipa rent za sasa ni mdogo pia kwa kodi lazima ishuke amasivyo watapoteza wapangaji na mapato zaidi.

Waliopandisha kodi hawakufikiria that was not sustainable plan watanzania kwa mapato halali awawezi mudu kodi zao in the long run. Yote hiyo ilikuwa chini ya yule C.E.O kilaza the so called banker msomi (JF bwana kuna watu wanajua kupamba) mtu hajui ata kufanya risk assessment ya investment zake wakati anaanza tu wengine walikuwa wanaonya how it will all end, ila alisifiwa balaa humu ndani.

Matokeo yake ndio hayo watu wanashindwa lipa rents, mapato yanashuka huku, kuna obligations za non current liabilities za 1.3 trillion.

Hali ni mbaya kwenda mbele serikali inabidi isamehe kodi za NHC ili shirika lipate pumzi, waweze kujipanga upya, washushe kodi na kufanya watu wagombanie nyumba zao kama ilivyokuwa kabla ya Nehemia, vinginevyo people will suffer wapangaji wa hayo majengo kwa makosa ya kimkakati yaliyofanywa na Nehemia na hali ya NHC itazidi kuwa ovyo ukizingatia serikali inaelekea Dodoma leaving more empty properties in Dar.

Besides it’s time to conduct another revaluation of assets, miradi mingi ya Nehemia aina market value kama NHC walivyokuwa wanainadi kwa ivyo kuna misrepresented value of assets on the books kuliko uhalisia wa sokoni.

Haya ndio madhara ya watanzania kukuza watu viazi, Banker wa kusifia Tanzania ni Kimei tu. Wengine bado wanajejingea hizo sifa na kati yao uwezi mweka Nehemia.
90% ya asset ya NHC ni dhulmat na unyang'anyi uliofanywa kwa watz wenzetu na dikteta wa kwanza wa nchi hii kwa nia ya kukandamiza na wao kujinufaisha.

Ni mungo sasa hakuna mwaka shirika la nyumba lilijiendesha kwa faida.

Ndio maana tunaambiwa malibya dhuluma hainufaishi.

Wenye ccm ni tabaka moja lilokabidhiwa nchi na matokeo yake ni wao pekee ndio walionufaika.

Kuna haja ya kujitokeza chama mbadala kitakachileta Sera ya makusudi ya kulifilisi shirika hili na kuzirudisha nyumba hizi za wizi kwa wenyewe.
 
Dawa ya hili shirika ni kuliuza tu,tangu lini serikali ya ccm ikaweza kufanya biashara,
Liuzwe tu,lipate tija Kama TBL,au TCC,
TTCL imewashinda,ATCL kuko hovyo,suma JKT madudu matupu,TBC1,utoporo mtupu,hebu linganisha hii TBC1 inayobebwa na Serikali Tena ina mkurugenzi Profesa,ilinganishe na AZAM TV,yenye mkurugenzi mwenye shahada tu,
 
90% ya asset ya NHC ni dhulmat na unyang'anyi uliofanywa kwa watz wenzetu na dikteta wa kwanza wa nchi hii kwa nia ya kukandamiza na wao kujinufaisha.

Ni mungo sasa hakuna mwaka shirika la nyumba lilijiendesha kwa faida.

Ndio maana tunaambiwa malibya dhuluma hainufaishi.

Wenye ccm ni tabaka moja lilokabidhiwa nchi na matokeo yake ni wao pekee ndio walionufaika.

Kuna haja ya kujitokeza chama mbadala kitakachileta Sera ya makusudi ya kulifilisi shirika hili na kuzirudisha nyumba hizi za wizi kwa wenyewe.
Majengo yaliyotaifishwa enzi za uhujumu uchumi, kipindi cha pili cha mzee Mwinyi baadhi aliwarudishia wenyewe na mengine wenye mali waliingia makubaliano mapya na NHC.
 
View attachment 1668906

View attachment 1668908

Kwa sasa hilo shirika halina tofauti na ‘drug addict’ kutokana na hali yake ya madeni. Not sure if things have changed since 2018 ila lilikuwa linatengeneza operation losses kila mwaka kurudi nyuma.

Ata 2017 walitengeneza loss, kilichofanya waonekane kama wamepata faida ni revaluation gain on assets being included in the costs of sales. That is not an income it’s supposed to be included at the bottom after the operation profit/loss income has been declared. Thereafter revaluation gain is included to show comprehensive income.

Ndio maana unaona revaluation ya 2018 imeonyesha picha halisi (baada ya kupunguza assets value) ila 2017 hakukuwa na faida pia ya operation.

Ukiangalia non current liabilities zao wana deni la karibu 1.3 trillion shillings, ambapo asilimia kubwa ni malimbikizo ya kodi za nyuma. Si ajabu walikuwa wanaachiwa ili wapunguze madeni ya wachina aliyochukua Nehemia ambayo na yenyewe yalifika almost trillion shillings.

Kwa statement hiyo ya NHC kupunguza kodi za pango ni matatizo kwa sasa ukizingatia debt commitment walizonazo huku mapatato yao yanashuka annually.

It’s ‘catch 22’ ni tatizo zaidi kwa sababu uwezo wa wapangaji kulipa rent za sasa ni mdogo pia kwa rate za sasa. Solution ni kodi lazima ishuke amasivyo watapoteza wapangaji na mapato zaidi.

Waliopandisha kodi hawakufikiria that was not a sustainable plan watanzania kwa mapato halali awawezi mudu kodi zao in the long run. Yote hiyo ilikuwa chini ya yule C.E.O kilaza the so called banker msomi (JF bwana kuna watu wanajua kupamba) mtu hajui ata kufanya risk assessment ya investment zake wakati anaanza tu wengine walikuwa wanaonya how it will all end, ila alisifiwa balaa humu ndani.

Matokeo yake ndio hayo watu wanashindwa lipa rents, mapato yanashuka huku, kuna obligations za non current liabilities za 1.3 trillion.

Hali ni mbaya kwenda mbele serikali inabidi isamehe tax inazodai NHC ili shirika lipate pumzi, waweze kujipanga upya, washushe kodi za mapango na kufanya watu wagombanie nyumba zao kama ilivyokuwa kabla ya Nehemia. Vinginevyo people will suffer, more so wapangaji wa hayo majengo kwa makosa ya kimkakati yaliyofanywa na Nehemia na hali ya NHC itazidi kuwa ovyo ukizingatia serikali inaelekea Dodoma leaving more empty properties in Dar.

Besides it’s time to conduct another revaluation of assets, miradi mingi ya Nehemia aina market value kama NHC walivyokuwa wanainadi kwa ivyo kuna misrepresented value of assets on the books kuliko uhalisia wa sokoni.

Haya ndio madhara ya watanzania kukuza watu viazi, Banker wa kusifia Tanzania ni Kimei tu. Wengine bado wanajejingea hizo sifa na kati yao uwezi mweka Nehemia.
Naona umeandika mengi ya maana lakini ukachanganya na chuki zako binafsi(maoni yako binafsi!) kuhusu Nehemia. Halafu hapo hapo ukaonyesha mapenzi yako potofu kwa Charles Kimei!

Let me declare interest hapa, mimi ni miongoni mwa watu ambao hatukuwahi kumkubali Nehemia toka awali, na leo ninakiri tena hapa hapa, Nehemia alikuwa ni mwizi na fisadi mzuri pale NHC. Lakini haya yanayoendelea sasa NHC ni beyond ya upuuzi uliofanywa na Nehemia.

Tuwe wakweli tu, sera mbovu za kiuchumi katika serikali ya awamu ya Tano ndio zinakwenda kuliua kabisa NHC. Uchumi wa uwekezaji mkubwa na muda mrefu haiwezi kutoboa kwa sasa. Hakuna biashara yoyote kubwa ya real estate inayoweza kuinuka sasa. Tatizo ni Magufuli, narudia tena, Tatizo ni Magufuli.

Kuhusu kupandisha au kushusha kodi ya pango, hilo ni suala la kawaida kwenye biashara. NHC walipandisha kodi ya pango kipindi kile ambapo bei ya soko ilikuwa inaruhusu (NHC hapo kabla walikuwa wanatoza kodi kidogo kulinganisha na wamiliki wengine wa nyumba wakati nyumba za NHC zilikuwa kwenye City centres au prime areas although nyumba za NHF zilikuwa chakavu!). Na kwa kuwa kwa sasa hali ya kiuchumi kiujumla kwa watanzania ni mbaya, hivyo busara ni kushusha bei ili kusustain biashara.
 
Naona umeandika mengi ya maana lakini ukachanganya na chuki zako binafsi(maoni yako binafsi!) kuhusu Nehemia. Halafu hapo hapo ukaonyesha mapenzi yako potofu kwa Charles Kimei

Ukweli ni kwamba Kimei sio wa kusifiwa kwani aliacha mikopo CHEFUCHEFU ya mabilloni ya shilingi pale CRDB ambayo ni ndoto kuja kulipwa!!! Kama unamsifia fanya hivyo kwa vigezo vingine na sio utendaji wa benki uliotukuka!!!
 
Very true. Kimei amekuwa overrated, uwezo wake ni wakawaida sana, na mpigaji mzuri tu.
 
Naona umeandika mengi ya maana lakini ukachanganya na chuki zako binafsi(maoni yako binafsi!) kuhusu Nehemia. Halafu hapo hapo ukaonyesha mapenzi yako potofu kwa Charles Kimei!

Let me declare interest hapa, mimi ni miongoni mwa watu ambao hatukuwahi kumkubali Nehemia toka awali, na leo ninakiri tena hapa hapa, Nehemia alikuwa ni mwizi na fisadi mzuri pale NHC. Lakini haya yanayoendelea sasa NHC ni beyond ya upuuzi uliofanywa na Nehemia.

Tuwe wakweli tu, sera mbovu za kiuchumi katika serikali ya awamu ya Tano ndio zinakwenda kuliua kabisa NHC. Uchumi wa uwekezaji mkubwa na muda mrefu haiwezi kutoboa kwa sasa. Hakuna biashara yoyote kubwa ya real estate inayoweza kuinuka sasa. Tatizo ni Magufuli, narudia tena, Tatizo ni Magufuli.

Kuhusu kupandisha au kushusha kodi ya pango, hilo ni suala la kawaida kwenye biashara. NHC walipandisha kodi ya pango kipindi kile ambapo bei ya soko ilikuwa inaruhusu (NHC hapo kabla walikuwa wanatoza kodi kidogo kulinganisha na wamiliki wengine wa nyumba wakati nyumba za NHC zilikuwa kwenye City centres au prime areas although nyumba za NHF zilikuwa chakavu!). Na kwa kuwa kwa sasa hali ya kiuchumi kiujumla kwa watanzania ni mbaya, hivyo busara ni kushusha bei ili kusustain biashara.
Tofauti ya maoni yangu na yako; msingi wangu ni financial statement ya NHC niliyoweka, wewe maoni yako for the most part ni unfounded allegations.

Kila nilichoongea kipo hapo juu kushuka kwa revenue in 2018 compared to 2017 statement inaonyesha.

NHC awauzi nguo useme uchumi ulikuwa na hali mbaya ndio maana biashara aikuwa nzuri kwa sababu wateja awakujitokeza. Hapana hali ya uchumi ilikuwa nzuri tu na ulikuwa at 7.1% na kuongezeka kwa mapato ya serikali ni ushahidi.

Tatizo ni kupunguzwa kwa mianya ya ufisadi na kukosekana hela rahisi rahisi za kumudu kodi zilizopanda kiholela (up to 200% + in one go in some areas) wanaokimbia sasa ni wale waliokuwa awajaathirika sana kimapato enzi za JK. Ila make no mistake watu wasiokuwa na deals tangia enzi hizo walianza kushindwa kulipa kodi way back kabla ata nchi aijui nani atakuwa raisi 2015; the trend has nothing to do with this administration isipokuwa kuongezeka kwake kunachangiwa na kuondolewa easy money.

Madeni ya NHC yapo wazi hapo ata ukitoa investment gains kwenye ordinary profit faida yao ni ndogo sana kutokana na operation cost ambazo ni zaidi ya 80 billion kinachobaki akiweza kulipa debt commitment na deferred taxes walizonazo.

The only way out hapo ni msamaha wa taxes tu, maana wakisema washushe rent zao ni balaa zaidi kwenye income which they can’t afford anymore drops given their debt obligations.

Wakati kubaki na hizo rent trust me kunaumiza watu wengi sana pia ndio maana nyumba zao zinaanza kuwa empty without the demand to refill occupancy.

Just look at their financial position kulingana na information walizotoa wenyewe badala ya kutafuta sababu za kulaumu watu wasiohusika.

Kuhusu Kimei mtu aliekuza asset value ya shirika kutoka billion kumi sijui 100 mpaka trillion kadhaa (if not mistaken it’s 4 or 6) uwezi mfananisha na Nehemia alielikuta shirika ambalo lilikuwa halina madeni na kuliacha likiwa linadaiwa over 1.3 trillion in addition to non performing investments.

Be serious
 
Tofauti ya maoni yangu na yako ni kuwa mimi msingi wangu ni financial statement ya NHC niliyoweka, wewe maoni yako for the most part ni unfounded allegations.

Kila nilichoongea kipo hapo kushuka kwa revenue in 2018 compared to 2017 statement inaonyesha hapo.

NHC awauzi nguo useme uchumi ulikuwa na hali mbaya mmbaya ndio maana biashara aikuwa nzuri kwa sababu. Hapana hali ya uchumi ilikuwa nzuri tu ulikuwa at 7.1% na kuongezeka kwa mapato ya serikali ni ushahidi.

Tatizo ni kupunguzwa kwa mianya ya ufisadi na kukosekana hela rahisi rahisi za kumudu kodi ata kwa wale waliokuwa awajaathirika sana, ila make no mistake watu wasiokuwa na deals walianza kushindwa kulipa kodi way back kabla ata nchi aijui nani atakuwa raisi 2015; the trend has nothing to do with this administration isipokuwa kuongezeka kwa waamaji kunachangiwa na kuondolewa easy money.

Madeni ya NHC yapo wazi hapo ata ukitoa investment gains kwenye ordinary profit faida yao ni ndogo sana kutokana na operation cost ambazo ni zaidi ya 80 billion kinachobaki akiweza kulipa debt commitment na deferred taxes.

The only way out hapo ni msamaha wa kodi tu, maana wakisema washushe kodi zao ni balaa zaidi. Just look at their financial position kulingana information walizotoa wenyewe badala ya kutafuta sababu za kulaumu watu wasiohusika.

Kuhusu Kimei mtu aliekuza asset value ya shirika kutoka sijui billion kumi mpaka trillion kadhaa uwezi mfananisha na Nehemia alielikuta shirika ambalo lilikuwa halina madeni na kuliacha likiwa linadaiwa over 1.3 trillion with non performing investments.

Umefanya uchambuzi mzuri lakini wa financial tu which is always easy to manipulate. Ni mzuri naukubali big up.
Tazama huku.
1. Hatuna haja ya kuwa na mashirika ya nyumba matatu nchi moja na yote yapo chini ya serikali NHC,TBA, na Watumishi Housing. Wrong wrong. In paper wana malengo tofauti but on ground ni same same. Simply ni vitengo vya wizi tuuu . Zivunjwe na kuwa department in one shirika.
2. Hakuna tena creativity . Pamoja na miradi mibovu ya Nehemia bado alionyesha njia ambazo kwa mfano joint ventures nyingi zinaleta income just need to adjust the agreements. Huyu wa sasa hakuna kitu amekua mwanasiasa tu. Nothing has been done on stalled projects eg Morocco square. Hakuna rescue strategies zo zote.
3. Misuse of resources- nenda NHC utaona mtu na mastaz analipwa above 2.5 million na marupurupu ili tu akusanye kodi. Yaani rent collector.. mtu ana degree BSC na MSC toka Ardhi University anachofanya ni cha form four leaver. Lazma ipunguze watu na kuingia kwenye computerization.
4. Taking on other ventures- kuna uhitaji mkubwa sana w kupanga miji na kutoa viwanja vilivyopimwa Kwa wananchi. Hii ni biashara yenye faida kubwa na makampuni binafsi mengi yamepata faida ya billions. Ila hili shirika lipo tu limelala na CEO wake ndio kwanza anakimbilia kumpongeza Jokate kwenye tokomeza ziro. Bado naunga mkono kumortgage assets zao wafanye miradi yenye tija.
5. NHC bado kuna mikwaruzano isiyo na afya hasa wakurugenzi na mameneja yaani wana timu zao zinazokwamishana. Hii in ongeza gharama tu ja kupunguza ufanisi.
Kuna haja ya kuoverhaul NHC yote au kuiua kabisa na kuanzisha yenye tija zaidi Vinginevyo iwe kitengo ndani ya TBA tuuu
 
Nitakujibu hapa hapa.

Suala la NHC kufikia hapo sio surprising events kwa sisi hapa JF, tulishaliongelea almost 10years back. (Tafuta thread hapa JF utaona). Tulijua na tunajua hichi kinachotokea sasa. Wengi walituona sisi kama tunamchukia Nehemia. Na Nehemia huyu huyu alikuwa akipigiwa makofi na kusifiwa na watawala waliokuwepo kuwa yeye ni mkurugenzi wa kuigwa. NHC ni shamba la watawala kuvuna tu, Nehemia aliwekwa pale kama bwana shamba ila wenye shamba waliendelea kuvuna na kuvuna. Ametolewa pale ili awekwe bwana shamba mpya na wenye shamba waendelee kuvuna.

Pili, karibu mashirika yote ya umma kwa sasa yanaendeshwa kwa hasara lakini yanatengeneza picha kuwa yanazalisha faida na kutoa gawiwo kwa serikali. Sio NHC, TRC, ATCL, TANESCO nk wote watakwambia wanatoa faida! Muda ndio unakuja kuwaumbua. Hivyo kujaribu kulinganisha NHC financial statement ya 2017 dhidi ya 2018 ni kupoteza muda tu. Tatizo limeanza muda, linafunikwa, siku likifunuliwa wote tunashangaa. Kilichoonekana kwenye financial statement ya 2018 ni matokeo ya mwendelezo wa kuficha mwenendo mbovu wa kuvuna hasara kwa miaka kadhaa nyuma.

Kuhusu Kimei na CRDB ni kama huijui vyema CRDB. Kilichoipandisha CRDB sio mtu fulani bali ni mmiliki mpya na timu yake ya uwekezaji. Kimei aliwekwa pale kulinda status ya maslahi ya mtawala (sote tunajua Kimei ni afisa kipenyo kwa zaidi ya miaka 30 sasa, ndio maana hatushangai kuingizwa kwenye siasa sasa). Kuna upuuzi mwingi sana amefanya CRDB, lakini hautahusikia kwa sababu fulani fulani.....

Yote kwa yote, wakurugenzi wa mashirika ya umma huteuliwa kisiasa (sio kiuweredi) na watapaswa kwenda kuyaendesha mashirika hayo kisiasa pia. Sioni mantiki yoyote kumlinganisha Kimei wa CRDB na Nehemia wa NHC, maana wamepita kwenye mikondo miwili tofauti sana ya kitaasisi.
 
Issue kubwa watu wanaopewa hizi nafasi sio entrepreneurial minded, walau huyo Nehemia alijaribu kuongeza value.

Tatizo lake lilikuwa ni poor marketing strategy, kutoelewa dhana ya public housing and pursuing unsustainable investment approach iliyoenda haribu model ya shirika.

Huyu aliepo sasa ndio kama wale wazamani mradi kuna mtu anashikilia nafasi ya General Manager or else angekuwa ana negotiate na serikali jinsi ya kulirudisha shirika katika misingi yake ili waweze fanya uwekezaji sahihi.

Dodoma inaenda pokea wafanyakazi wengi wa serikali NHC ingepata faida kubwa sana through economies of scale kuliko kila mtu anaeamia huko wakianza kujenga mmoja mmoja.

Criteria za kuteua hawa watu wanazijua wenyewe huko kwenye mamlaka ya teuzi.
 
Nitakujibu hapa hapa.

Suala la NHC kufikia hapo sio surprising events kwa sisi hapa JF, tulishaliongelea almost 10years back. (Tafuta thread hapa JF utaona). Tulijua na tunajua hichi kinachotokea sasa. Wengi walituona sisi kama tunamchukia Nehemia. Na Nehemia huyu huyu alikuwa akipigiwa makofi na kusifiwa na watawala waliokuwepo kuwa yeye ni mkurugenzi wa kuigwa. NHC ni shamba la watawala kuvuna tu, Nehemia aliwekwa pale kama bwana shamba ila wenye shamba waliendelea kuvuna na kuvuna. Ametolewa pale ili awekwe bwana shamba mpya na wenye shamba waendelee kuvuna.

Pili, karibu mashirika yote ya umma kwa sasa yanaendeshwa kwa hasara lakini yanatengeneza picha kuwa yanazalisha faida na kutoa gawiwo kwa serikali. Sio NHC, TRC, ATCL, TANESCO nk wote watakwambia wanatoa faida! Muda ndio unakuja kuwaumbua. Hivyo kujaribu kulinganisha NHC financial statement ya 2017 dhidi ya 2018 ni kupoteza muda tu. Tatizo limeanza muda, linafunikwa, siku likifunuliwa wote tunashangaa. Kilichoonekana kwenye financial statement ya 2018 ni matokeo ya mwendelezo wa kuficha mwenendo mbovu wa kuvuna hasara kwa miaka kadhaa nyuma.

Kuhusu Kimei na CRDB ni kama huijui vyema CRDB. Kilichoipandisha CRDB sio mtu fulani bali ni mmiliki mpya na timu yake ya uwekezaji. Kimei aliwekwa pale kulinda status ya maslahi ya mtawala (sote tunajua Kimei ni afisa kipenyo kwa zaidi ya miaka 30 sasa, ndio maana hatushangai kuingizwa kwenye siasa sasa). Kuna upuuzi mwingi sana amefanya CRDB, lakini hautahusikia kwa sababu fulani fulani.....

Yote kwa yote, wakurugenzi wa mashirika ya umma huteuliwa kisiasa (sio kiuweredi) na watapaswa kwenda kuyaendesha mashirika hayo kisiasa pia. Sioni mantiki yoyote kumlinganisha Kimei wa CRDB na Nehemia wa NHC, maana wamepita kwenye mikondo miwili tofauti sana ya kitaasisi.
Kama mlitabiri kitakacho tokea huko nyuma big up.

Ila kwenye kuvuna hakuna aliefaidika labda kwa watu waliokuwa wanapewa over priced tender za miradi ya NHC.

Other than that ameenda tengeneza madeni ambayo yalitakiwa kulipwa na investments alizofanya.

Matokeo ya miradi yake mibovu isiyoweza kujilipa yenyewe gharama za kulipa hayo madeni shirika liliwapelekea wapangaji aliowakuta kwa madai ya ongezeko la kodi kutokana na thamani ya kuishi maeneo fulani.

Shirika gani la housing la serikali lina charge rate ya maeneo based on private rental, na kuhalalisha kuwapandishia watu kodi up to 250% in one go?

Si unyanyasaji ule ulikuwa na JK akimchekea pamoja na kuonywa stop the dude, yeye ndio kwanza alikuwa anacheka cheka jukwaani akionyeshwa michoro na story zao za kuingia mikataba na banks kutoa mortage za over priced products, ili wananchi wafaidike.

Mimi sijapata kuona mtu bogus kama yule jamaa halafu kutwa alikuwa anakuzwa.

Kuhusu Kimei sidhani kama unamfahamu vizuri tafuta academic writings kabla ya kuwa mkurugenzi CRDB uone kasoro alizokuwa anazionyesha kwenye uendeshaji wa taasisi za fedha zilizokuwa chini ya serikali; linganisha na alichokuwa anafanya baada ya kuteuliwa.

Kilichotokea CRDB sio bahati nasibu the man had a plan.
 
Back
Top Bottom