mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Jf
Naona anguko la NHC baada ya kususua kwa biashara nyingi Mjini linakuja kwa kasi, huku wafanyabiashara Mjini wakizidi kufunga biashara kwa kasi.
Kinachokukwamisha ni kutojua kuwa wengi wa wafanyabiashara walikuwa wasimamizi tu , biashara nyingi zilikuwa za mawaziri na makatibu wakuu.
Ofisi nyingi zilimulikiwa na ndugu na Jamaa wa viongozi ambao wengi wamejichomoa kuogoba Mkulu, wengine wamefilisika baada ya njia za panya kuzibwa kwa magunzi makavu.
Biashara za upigaji wengi walikimbilia national Housing kwa kuwa malipo kwa mwezi yalikuwa afadhali.
Mchechu wakati anapandisha bei holela alikuta fedha za mangumshi nyingi akadhani endelevu. Lukuvi unaangaika sana kutaka kutaja watu, hiyo haisaidii kwani utawawafilisi bure wakati washajifia.
Lukuvi omba mkutano na wapangaji wakupe wayaonayo siyo kukazania kuwashitaki na kuwanyanganya Mali.