Katika msafara wa mamba kenge nao wamo... Mimi ni mtu tu mkuu, hata sikumbuki mara ya mwisho lini nilishika kitabu kitakatifu.Tabiri za mchongo...nyie manabii ni mitume mnakera.
Katika huu Ufunuo asilimia kubwa ulihusu tukio walilolifanya Marekani kule Venezuela...Heri ya mwaka mpya wakuu... kwani mwaka huu (2026) hasa miezi mitatu ya mwanzo wa huu mwaka una Heri nyingi kwa wenye haki.
a). Ufunuo Huu ni mbaya kwa makundi yote yenye nguvu duniani aidha yawe ni Taasisi Vitengo, Kampuni ama serikali yeyote inayojihusisha na vitendo hivi au kati ya hivi;
1. Wanaopanga, watakao panga na waliokwisha kupangua mipango ya hila dhidi ya watu mbalimbali hasa viongozi.
2. Wanaopanga watakaopanga, waliokwesha kupangua kuharibu mipango mizuri ya kundi flani au watu fulani kwa ujanja ujanja, hadaa, uongo.
3.Wanaopanga, watakaopanga na waliokwisha kupanga na kuwadhulumu watu fulani au kundi fulani haki zao, kwa kuzuiwa kufanya mambo flani kufungwa katika kifungo, kufichwa mahali.
NOTE: iwe ulifichwa kwa kuigiza(hadaa watu) ulijiteka ama ulitekwa kwa bahati mbaya na ukasalitiwa nawaliokuahidi kua watakusaidia/kukukomboa basi tambua hivi karibuni mambo yanakwenda kua hadharani kuumbuka.
Kwahiyo wanaotekeleza/walitekeleza/wanataka kutekeleza mipango miovu yote kwa Binadamu wenzao basi mwaka huu wanakwenda kushindwa katika azma/mipango yao na kama haitoshi wataumbuka vibaya nawashauli mwaka huu nyakati ni tofauti hivyo wasijisumbue kwani hawatafanikiwa kamwe.!
b). Ufunuo Huu ni Habari njema kwa wale wote waliodhulumiwa haki zao, waliofanyiwa hila, waliosalitiwa katika harakati, walioshikiliwa na kufungwa kinyume na taratibu... Wanakwenda kuwa huru na wenye nguvu... Na kutambua kuwa walihadaiwa/walidanganywa/walishawishiwa na kukubaliana na watu fulani lakini baada ya mambo kuwa mabaya watu wao waliokua wanashilikiana nao wakawaasi na kuwasaliti/wakawatelekeza wakijua basi tena hawawezi wakachomoka au wakarudi tena lakini mtatoka safe and sound.
Hali Hii itakua mithili ya chatu aliemmeza mtoto wa mbwa mama yake na yule mbwa atalia kwa uchungu huku akitizama tumbo la chatu alivyoshiba atakata tamaa na kuondoka watu watakuja kumpiga yule chatu kwa mabua kiasi kwamba hawana msaada kabisa nao wataona hapa basi tayari ashamezwa huyu... Ashakwenda tayari Lakini yule chatu atajichanganya na kuingia mahali huko atakutana na chamtema kuni atafumuka huko alikoingia na atamtema yule puppy bila kupenda na puppy huyo atatoka kwenye tumbo la chatu akiwa ni mzima mwenye nguvu na stamina, huku akijitikisa na kujinyoosha mwili wake mfugaji wa yule mbwa ndio atajua kuwa alisalitiwa na wakubwa wake katika mipango yao... mpaka mbwa wake akamezwa.
Watu wema mkiwa mnapanga mipango yenu... Wabaya watawashuhudia na watawahadaa kwa kuwakaribisha katika dinner table mtakaa lakini machale yatawacheza mtashituka na kuondoka... Watawabembeleza kuwa jamani tunawaandarieni chakula msiondoke... Kwa hila zao wanaweza wakafanya msitimize mipango yenu lakini pia na wao hawatawaweza kufanikiwa kuwadhuru hata watumie mbinu ipi.
Hivyo basi kwa kikundi, kitengo, taasisi,chombo au serikali yoyote ile pale ulimwenguni iwe ni USA, ISRAEL, IRAN, ULAYA HAPO, KENYA, TANZANIA au URUSI NCHI YOYOTE ILE WAJIANDAE KWA PIGO ANGUKO AU KUSHINDWA KWA HILA WALIZOZIFANYA JUU YA WENZAO.
AMANI IWE NANYI🙏🙏🏽🙏🏿
Nifanyie samari ,hili gazeti lote hapana.Katika huu Ufunuo asilimia kubwa ulihusu tukio walilolifanya Marekani kule Venezuela...
Kuna details ambazo ziko katika original version na sikuziweka katika hii thread version...
Nime-connect dots kupitia hizo details na taarifa za tukio la kukamatwa kwa Maduro nimejiridhisha sehemu kubwa ya ufunuo huu unaihusu China, Venezuela na Marekani.
Katika ufunuo kuna details zinaonesha wazi Marekani baada ya kumkamata Maduro ataingia katika mtego au 18 za kitu ambacho hakiwezi kupambana nacho atatumia nguvu zake zote atatamani kutoka lakini alikoingia hutoki kirahisi...
(Marekani(CIA) atakutana chemba, mtu mbili na kitu kama Kobe hivi, hakina nguvu(mbinu za kimedani), hakina haraka wala hakina hasira... USA kila akikusanya nguvu na kua aggressive kwa Kobe, Kobe anajificha ndani ya jumba lake huku anatunga sheria akija kuibuka anaibuka na vifungu vya sheria na hoja zenye mashiko... USA atakosa timing sahihi ya kumuua Kobe.
Hivyo atalazimika kumuachia Maduro akiwa mzima wa afya ila yeye huyo Marekani atakuwa hoi bin taabani...
Marekani ni aidha kajitengenezea ama katengenezewa mgogoro ndani au karibu na territory yake ni mbaya sana hii...
Mgogoro huu utamsumbua sana kisheria na hata wakitumia covert operation watafeli.
Details za original version zinanionyesha wazi kabisa kuwa kumkamata Maduro sio shida na Mataifa wata-react kidogo tu ila...!!!
Shida au Mgogoro utavaa sura mpya pindi tu Marekani atakapotaka kugusa mafuta(crude oil 🛢️ 🛢️ 🛢️)...
This time Marekani(CIA) Wameingia mtegoni... Kazi wanayo Lengo la operation ni ile oil reserves na wala sio drugs (BANKNOTE),
Sasa penye lengo lao ndio penye mtego akinasa hapo itamgarimu, mgogoro wake utakuwa wa taratibu na itamchukua miongo kadhaa kuu-solve...
Ningekuwa na access nao ningewashauri wasiziguse direct resources zilizopo Venezuela, wao waishie kutekeleza kile walichotuambia wanataka kufanya pale Venezuela(madawa nk)
Kiranga
min -me
Infropreneur
Ni kweli sijakataaNi kwamba... mshika mawili moja humponyoka.
Huko Venezuela USA anataka kudhibiti mtandao wa madawa au mafuta.
SawaSawa sawa Mkuu.
Polepole atapatikana?Heri ya mwaka mpya wakuu... kwani mwaka huu (2026) hasa miezi mitatu ya mwanzo wa huu mwaka una Heri nyingi kwa wenye haki.