Wanaopanga, watakao panga na waliokwisha kupangua mipango ya hila dhidi ya watu mbalimbali hasa viongozi.
Hulu❎Mwaka huu nyakati zake ni za haki na haki itapatikana kwa wenye haki...
Na wadharimu waliopola haki ya mtu yeyote yule awe ni kiongozi fulani, taasisi, au Nchi fulani, atarudishiwa haki hio bila wao kupenda... Yaani watang'anga'nia kuendelea kumshikilia kikamilifu, lakini baadae litakuja tokea tukio lakawaida kabisa na laamani tu ila wao watajichanganya wataingilia na hilo Tukio, wakiwa ndani ya hilo tukio mambo yatabadilika kutatokea msuguano/mvutano/mtifuano mkali humo (atabananishwa mtu kati) na hatimaye mateka atakuwa hulu.
Waswahili wanasema nyani katema Bungo.
Vuta picha umekula chakula kizuri kitamu sana wakati ukiwa umeshiba unakiona chakula kingine cha kawaida kabisa na kipo mazingira machafu kwa tamaa na uroho unakiendea... Baada ya muda hali si hali mara kichefuchefu mara paah! Umetapika Biliani lote kisa dagaa na bado uko hoi unangoja huduma ya kwanza.
Ndio kudukua account ya Kash Patel kuna uhusiano gani na vita?Hivyo basi kwa kikundi, kitengo, taasisi,chombo au serikali yoyote ile pale ulimwenguni iwe ni USA, ISRAEL, IRAN, ULAYA HAPO, KENYA, TANZANIA au URUSI NCHI YOYOTE ILE WAJIANDAE KWA PIGO ANGUKO AU KUSHINDWA KWA HILA WALIZOZIFANYA JUU YA WENZAO.
Wasaliti ndani ya Marekani ndio watakao ifelisha maana kuna mpasukoMAREKANI akisipo badilika katika namna anavyofanya engagement katika matukio yake na kuwa low key kwa mwaka huu basi kwa namna yoyote ile atarajie anguko(kufail) na itamgalimu kweli/sana.
Hapa wanawafikishia ujumbe kuwa pia na sisi tunamambo yenu nyeti na tunauwezo wakujua mengine tukihitaji... Na kuyatumia hayo mambo nyeti katika mahari nyakati na hari sahihi itakapobidi.Ndio kudukua account ya Kash Patel kuna uhusiano gani na vita?
Km kweli wanaweeza hio michezo wakakombe bank waache 0 tu maana si wanataka kufanya jambo kuionyesha dunia kwamba Marekani ni weupe tu hakuna kitu yaan zile tunazoziona kwenye movie ni maigizo tu na mbwembwe si uhalisia wenyewe ulivyoHapa wanawafikishia ujumbe kuwa pia na sisi tunamambo yenu nyeti na tunauwezo wakujua mengine tukihitaji... Na kuyatumia hayo mambo nyeti katika mahari nyakati na hari sahihi itakapobidi.
Hivyo USA ajitafakari katika maamuzi yake anayoyataka kuchukua dhidi yao kabla hajayachuku.
Kiufupi kudukua account ni kete yao muhimu wameitumia kumpunguzia kujiamini kwa Marekani.
Hio ya akaunt ya huyo Patel ni uzembe kidogo tu wa muhusika.Km kweli wanaweeza hio michezo wakakombe bank waache 0 tu maana si wanataka kufanya jambo kuionyesha dunia kwamba Marekani ni weupe tu hakuna kitu yaan zile tunazoziona kwenye movie ni maigizo tu na mbwembwe si uhalisia wenyewe ulivyo