Hali Hii itakua mithili ya chatu aliemmeza mtoto wa mbwa mama yake na yule mbwa atalia kwa uchungu huku akitizama tumbo la chatu alivyoshiba atakata tamaa na kuondoka watu watakuja kumpiga yule chatu kwa mabua kiasi kwamba hawana msaada kabisa nao wataona hapa basi tayari ashamezwa huyu... Ashakwenda tayari Lakini yule chatu atajichanganya na kuingia mahali huko atakutana na chamtema kuni atafumuka huko alikoingia na atamtema yule puppy bila kupenda na puppy huyo atatoka kwenye tumbo la chatu akiwa ni mzima mwenye nguvu na stamina, huku akijitikisa na kujinyoosha mwili wake mfugaji wa yule mbwa ndio atajua kuwa alisalitiwa na wakubwa wake katika mipango yao... mpaka mbwa wake akamezwa