AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Sasa imewezekanaje alifanya uzembe upi na ikawezekana vipi km mifumo inasoma inashindwa vipi kumjua mwizi wa taarifa?Hio ya akaunt ya huyo Patel ni uzembe kidogo tu wa muhusika.
Ila likija suala la mifumo ya kiserikali huko ni habari nyingine kuna level ya ulinzi ambayo hata ikitokea mmoja wao anaihujumu taasisi na kuuza taarifa hawezi kufanikisha kirahisi... Kwasababu mifumo inasomana na ngazi nyingine ya ulinzi nk.
Hapo nimechikulia kwamba akaunt yake anaimiliki na kuimanage yeye binafsi kupitia simu yake akiwa katika harakati zake ukiachana na kazini.Sasa imewezekanaje alifanya uzembe upi na ikawezekana vipi km mifumo inasoma inashindwa vipi kumjua mwizi wa taarifa?
Yaan account ya FB? Sio FBI?Hapo nimechikulia kwamba akaunt yake anaimiliki na kuimanage yeye binafsi kupitia simu yake akiwa katika harakati zake ukiachana na kazini.
Ila zile zinazomilikiwa na kuongozalwa na taasisi ndio zinalindwa kwa ufanisi 24/7
Nadhani hakuna sababu ya kuliombea taifa acha hizo nguzo zitikisike ili taifa lianze upya. Taifa limenajisiwa sana na huu utawala Mungu afanye tu yake ikiwezekana aue top layer yote iliyojishindisha uchaguzi, akiteketeza wote mpaka level ya uwaziri litakuwa jambo jema sana.Mungu anaonyesha uwenda Taifa likapata mtikisiko mkubwa hivyo kama mtanzania ombea Taifa lako ombea idara zake na miimili yake. Dalili zinaonyesha upepo mkali kutoka mashariki na magharibi ,kasikazin na kusini utalipiga Taifa maombi ndio silaha pekee kupooza upepo huu mkali utakao ng'oa nguzo imara zataifa.
Mungu tuna kuomba utusamehe na utukumbuke na kututetea ktk nyakati ngumu mbele yetu. Tumevaa nguo nyeusi na kuomboleza utusamehe na utuhurumie. Huu ni unabii na sio vinginevyo.
Alimmeza madulo(Kule Venezuela) akajichanganya akaingia kwa wa IRANHali Hii itakua mithili ya chatu aliemmeza mtoto wa mbwa mama yake na yule mbwa atalia kwa uchungu huku akitizama tumbo la chatu alivyoshiba atakata tamaa na kuondoka watu watakuja kumpiga yule chatu kwa mabua kiasi kwamba hawana msaada kabisa nao wataona hapa basi tayari ashamezwa huyu... Ashakwenda tayari Lakini yule chatu atajichanganya na kuingia mahali huko atakutana na chamtema kuni atafumuka huko alikoingia na atamtema yule puppy bila kupenda na puppy huyo atatoka kwenye tumbo la chatu akiwa ni mzima mwenye nguvu na stamina, huku akijitikisa na kujinyoosha mwili wake mfugaji wa yule mbwa ndio atajua kuwa alisalitiwa na wakubwa wake katika mipango yao... mpaka mbwa wake akamezwa
Jambo usilolijuwa usiku wa giza. Baki na ulivyo elewa. SanteMzee wa karatasi nyeupe itayofunguliwa 2025
Hiki ulichoandika hapa ni utapeli, kikitoke utasema ulisema mapema. Isipotokea utasema watu walioombea tukaepushwa na hilo janga
Jambo usilolijuwa usiku wa giza. Baki na ulivyo elewa. Sante
Mkuu nilikuwa siamini tabiri zako nyingi, lakini kwa huu utabiri, umedhihirisha kabisa wewe ni Mjumbe wa Mungu na kama Taifa tulipaswa kufanyia kazi Ujumbe wako ili kuepusha madhila uliyoyaona siku nyingi kabla.Jambo usilolijuwa usiku wa giza. Baki na ulivyo elewa. Sante
The Man who see today.... do u know next move.....Mungu anaonyesha uwenda Taifa likapata mtikisiko mkubwa hivyo kama mtanzania ombea Taifa lako ombea idara zake na miimili yake. Dalili zinaonyesha upepo mkali kutoka mashariki na magharibi ,kasikazin na kusini utalipiga Taifa maombi ndio silaha pekee kupooza upepo huu mkali utakao ng'oa nguzo imara zataifa.
Mungu tuna kuomba utusamehe na utukumbuke na kututetea ktk nyakati ngumu mbele yetu. Tumevaa nguo nyeusi na kuomboleza utusamehe na utuhurumie. Huu ni unabii na sio vinginevyo.
What's the next move?The Man who see today.... do u know next move.....
Manabii wanatimiza unabii. mkuu!Tabiri za mchongo...nyie manabii na mitume mnakera.
Ngoja tuone!Mungu anaonyesha uwenda Taifa likapata mtikisiko mkubwa hivyo kama mtanzania ombea Taifa lako ombea idara zake na miimili yake. Dalili zinaonyesha upepo mkali kutoka mashariki na magharibi ,kasikazin na kusini utalipiga Taifa maombi ndio silaha pekee kupooza upepo huu mkali utakao ng'oa nguzo imara zataifa.
Mungu tuna kuomba utusamehe na utukumbuke na kututetea ktk nyakati ngumu mbele yetu. Tumevaa nguo nyeusi na kuomboleza utusamehe na utuhurumie. Huu ni unabii na sio vinginevyo.