Kwa ufupi tu nyuzi hii Imebeba ujumbe wa kinabii kua "Mwaka huu sio wakupanga na kufanya uovu, hila kuto kutenda haki.
Kuanzia ngazi ya ulimwengu, kidunia, kimataifa, kitaifa, kifamilia hadi ngazi ya kirafiki... Na kama endapo utafanya hivyo basi hautafanikiwa bali ubaya huo utakurudia mwenyewe"