Uchaguzi 2020 Kitakachombeba Tundu Lissu uchaguzi 2020

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Hamna mtu atachagua dhalimu muuaji.
 
Mitano tena mi shida[emoji16]
 
mzembe ni anaekula kwa kusifia
 
Kipenzi cha watanzania wepi? Wale waliomuacha solemba pale Mkapa?
Hebu acheni kujivika upofu kama mazuzu vile!
 
Lissu ameweza kuwin support ya umma wa watanzania kwa 80%
Ila anachokosa Lissu ni support ya vyombo vya dola
Tiss
Jwtz
Police force
Prison service.

Akiweza kupata support pande hizo, Magufuli imekula kwake mazima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu ameweza kuwin support ya umma wa watanzania kwa 80%
Ila anachokosa Lissu ni support ya vyombo vya dola
Tiss
Jwtz
Police force
Prison service.

Akiweza kupata support pande hizo, Magufuli imekula kwake mazima

Sent using Jamii Forums mobile app
Wa chini wanaunga mabadiliko coz sio wanufaika Kama mabosi zao.Kuwategemea hao awatabiliki
 
Kwa heshima ya ndungulile upinzani wamwachie Jimbo la kigamboni Kama zawadi ya kuwafurahisha watz kwa kumkata mkia nyoka, kichwa kitapondwa October. Mkia is a source of evil ukiungana na kichwa
 
Hivi unaweza kuniambia usaliti wa Lisu ni upi? Jaribu kunishawishi labda naweza kubadili mawazo kwa kumpigia kura Magufuli.
 
WE BINTI JPM NI WA MOTO KWA MAISHA YA MMOJAMOJA.

Ila TUNDU LISSU ni kifo kwa TAIFA akili anayo ila BUSARA NA HEKIMA 0.1℅
Maji ,Umeme ,babaraba,mahospitali na elimu haya ni mahitaji ya lazima ya wananchi na ni kila serikali lazima iyafanye. ndiyo maana inakusanya kodi na infact hizo ni huduma tunazijenga kwa kodi zetu.

So MaCCM mfundisheni MEko fool kuwa hizo siyo agenda za kuja kutuhubiria kwenye mikutano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitambeba wapi mkuu?
 
Upuuzi uliopo ni kuwa hata LISSU anahubiri alichofanya JPM KIMAENDELEO.

Kwa njia HASI na inadhiirisha alicho nacho Moyoni mwake ni chuki tu.

Kitu kizuri hawezi ificha hiyo chuki.
 
Upuuzi uliopo ni kuwa hata LISSU anahubiri alichofanya JPM KIMAENDELEO.

Kwa njia HASI na inadhiirisha alicho nacho Moyoni mwake ni chuki tu.

Kitu kizuri hawezi ificha hiyo chuki.
MaCCM maguvu yote mliyonayo mwaka huu kampeni zimewashinda!
Si mlisema mwaka huu uchaguzi ni rahisi mno yaani hakuna haja ya kumpigia kamleni Meko! Imekuwaja sasa? Mgombea wenu yule Meko fool kapata pancha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…