Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hamna mtu atachagua dhalimu muuaji.Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna mtu atachagua dhalimu muuaji.Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Ngoja nii copy hii CommentChadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Mitano tena mi shida[emoji16]Kitakachombeba Tundu Lissu mwaka huu ni yeye Kama mgombea kuuzika as personal yaani anakibeba chama
Kingine ni yeye kuja na slogan ya Kipekee kabisa toka kuanzishwa kwa vyama vingi ya uhuru, Haki na Maendeleo.
CCM ya Magufuli kutokuwa na slogan kwa Mara ya kwanza toka tupate uhuru.
Mwalimu Nyerere alikuwa na slogan ya Uhuru na umoja, Uhuru na madeleo,
Akaja pia na slogan ya maadui watatu Yaani ujinga maradhi na umasikini.
Mwinyi alikuja na Ruksa
Mkapa akaja na ubinafisishaji, uwekezaji na Serikali ya viwango
Kikwete akaja na Maisha Bora kwa kila mtanzania
Pia kilimo kwanza
Sasa hapa kazi imefeli hana slogan anaenda enda tu hawapi wanachi matumaini .
Anguko la Magufuli lipo wazi uchaguzi huu ni kiongozi hasiye na dira kwa taifa lake.
mzembe ni anaekula kwa kusifiaMagufuli anaenda sera ya hapa kazi tu kama wewe ni mzembe huwezi kuelewa Ndio maana wale waliozoea maisha ya kiujanja janja km nyie mnabweka
Chadema hatujasahau mlisema kilimo kwanza ya kikwete ni kwa ajili ya viongozi sio wakulima, Vipi leo mmesahau
Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Kipenzi cha watanzania wepi? Wale waliomuacha solemba pale Mkapa?Magufuli anaenda sera ya hapa kazi tu kama wewe ni mzembe huwezi kuelewa Ndio maana wale waliozoea maisha ya kiujanja janja km nyie mnabweka
Chadema hatujasahau mlisema kilimo kwanza ya kikwete ni kwa ajili ya viongozi sio wakulima, Vipi leo mmesahau
Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Yetu machoMkilewa Mbege chochote mnachojisikia kunena mnanena tu.
Lissu ameweza kuwin support ya umma wa watanzania kwa 80%Kitakachombeba Tundu Lissu mwaka huu ni yeye Kama mgombea kuuzika as personal yaani anakibeba chama
Kingine ni yeye kuja na slogan ya Kipekee kabisa toka kuanzishwa kwa vyama vingi ya uhuru, Haki na Maendeleo.
CCM ya Magufuli kutokuwa na slogan kwa Mara ya kwanza toka tupate uhuru.
Mwalimu Nyerere alikuwa na slogan ya Uhuru na umoja, Uhuru na madeleo,
Akaja pia na slogan ya maadui watatu Yaani ujinga maradhi na umasikini.
Mwinyi alikuja na Ruksa
Mkapa akaja na ubinafisishaji, uwekezaji na Serikali ya viwango
Kikwete akaja na Maisha Bora kwa kila mtanzania
Pia kilimo kwanza
Sasa hapa kazi imefeli hana slogan anaenda enda tu hawapi wanachi matumaini .
Anguko la Magufuli lipo wazi uchaguzi huu ni kiongozi hasiye na dira kwa taifa lake.
Na wewe ukipigwa mbupu basi kila mwanaume unamtaka akuchape mabao zaidiMkilewa Mbege chochote mnachojisikia kunena mnanena tu.
Waziri mtarajiwa wa UFIPA keshafuzu chuo sasa yupo anafanyia majaribio kwangu -/+.Na wewe ukipigwa mbupu basi kila mwanaume unamtaka akuchape mabao zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumchagua ni sawa na kumkabidhi shetani maisha yako.Au sawa na kumkopesha tena unaemdaiTuwekewe mazingira yatume huru kiutendaji kweli tumeaapa kumpa magu aje achome nyavu
Wa chini wanaunga mabadiliko coz sio wanufaika Kama mabosi zao.Kuwategemea hao awatabilikiLissu ameweza kuwin support ya umma wa watanzania kwa 80%
Ila anachokosa Lissu ni support ya vyombo vya dola
Tiss
Jwtz
Police force
Prison service.
Akiweza kupata support pande hizo, Magufuli imekula kwake mazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaweza kuniambia usaliti wa Lisu ni upi? Jaribu kunishawishi labda naweza kubadili mawazo kwa kumpigia kura Magufuli.Magufuli anaenda sera ya hapa kazi tu kama wewe ni mzembe huwezi kuelewa Ndio maana wale waliozoea maisha ya kiujanja janja km nyie mnabweka
Chadema hatujasahau mlisema kilimo kwanza ya kikwete ni kwa ajili ya viongozi sio wakulima, Vipi leo mmesahau
Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Maskini Madam polepole ameumbuka leo kule twitterWaziri mtarajiwa wa UFIPA keshafuzu chuo sasa yupo anafanyia majaribio kwangu -/+.
KARIBU SANA KIJANA.
WE BINTI JPM NI WA MOTO KWA MAISHA YA MMOJAMOJA.Maskini Madam polepole ameumbuka leo kule twitterView attachment 1597241
Sent using Jamii Forums mobile app
Maji ,Umeme ,babaraba,mahospitali na elimu haya ni mahitaji ya lazima ya wananchi na ni kila serikali lazima iyafanye. ndiyo maana inakusanya kodi na infact hizo ni huduma tunazijenga kwa kodi zetu.WE BINTI JPM NI WA MOTO KWA MAISHA YA MMOJAMOJA.
Ila TUNDU LISSU ni kifo kwa TAIFA akili anayo ila BUSARA NA HEKIMA 0.1℅
Kitambeba wapi mkuu?Kitakachombeba Tundu Lissu mwaka huu ni yeye Kama mgombea kuuzika as personal yaani anakibeba chama
Kingine ni yeye kuja na slogan ya Kipekee kabisa toka kuanzishwa kwa vyama vingi ya uhuru, Haki na Maendeleo.
CCM ya Magufuli kutokuwa na slogan kwa Mara ya kwanza toka tupate uhuru.
Mwalimu Nyerere alikuwa na slogan ya Uhuru na umoja, Uhuru na madeleo,
Akaja pia na slogan ya maadui watatu Yaani ujinga maradhi na umasikini.
Mwinyi alikuja na Ruksa
Mkapa akaja na ubinafisishaji, uwekezaji na Serikali ya viwango
Kikwete akaja na Maisha Bora kwa kila mtanzania
Pia kilimo kwanza
Sasa hapa kazi imefeli hana slogan anaenda enda tu hawapi wanachi matumaini .
Anguko la Magufuli lipo wazi uchaguzi huu ni kiongozi hasiye na dira kwa taifa lake.
Upuuzi uliopo ni kuwa hata LISSU anahubiri alichofanya JPM KIMAENDELEO.Maji ,Umeme ,babaraba,mahospitali na elimu haya ni mahitaji ya lazima ya wananchi na ni kila serikali lazima iyafanye. ndiyo maana inakusanya kodi na infact hizo ni huduma tunazijenga kwa kodi zetu.
So MaCCM mfundisheni MEko fool kuwa hizo siyo agenda za kuja kutuhubiria kwenye mikutano
Sent using Jamii Forums mobile app
MaCCM maguvu yote mliyonayo mwaka huu kampeni zimewashinda!Upuuzi uliopo ni kuwa hata LISSU anahubiri alichofanya JPM KIMAENDELEO.
Kwa njia HASI na inadhiirisha alicho nacho Moyoni mwake ni chuki tu.
Kitu kizuri hawezi ificha hiyo chuki.
Nataman kujua taarifa unayotamani kunipa ni ipi hata sijui.MaCCM maguvu yote mliyonayo mwaka huu kampeni zimewashinda!
Si mlisema mwaka huu uchaguzi ni rahisi mno yaani hakuna haja ya kumpigia kamleni Meko! Imekuwaja sasa? Mgombea wenu yule Meko fool kapata pancha
Sent using Jamii Forums mobile app