Kitakachompata mwanamke endapo akiacha kufanya mapenzi

Kitakachompata mwanamke endapo akiacha kufanya mapenzi

Ni saa 08:38 kwa saa za Afrika Mashariki.

Naona Tanzania ya viwanda inakuja kwa kasi ya ajabu.
Hongera mkuu

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
Huyo anayehamasisha VIWANDA anaangalia SHILAWADU

May Allah bless Me and You
 
Kuna mdada moja aliolewa na mzee moja hivi mtumishi wa serikali. Wakabahatika kuzaa watt wa3, tatizo likaja yule dada hapatani na hizi madawa ya uzazi wa mpango, daktari akamshauri watumie njia za kalenda. Mume wake hakuridhika na huo ushauri akaamua yeye mwenyewe kumwaga manii nje wakati wa tendo. Wakafanya hivo hivo miaka miwili ikakata, baadae mke akapatwa na ugonjwa wa kuweweseka km hajitambui vizuri. Daktari akagundua tatizo baada ya kumwuliza mke kwa undani, alafu akamwita mzee akamshauri vizuri namna ya kutibu huo ugonjwa kuwa ni lazima mume awe anamfikisha mkewe kileleni ktk tendo ili mwili wake ukae sawa. Chakushangaza mume alikubali hapo lakini akaendelea na utaratibu wake ule ule wa kumwaga nje. Na mke akaendelea kuumwa zaidi wakarudi hospital. Dr akamwambia mke we ni mtu mzima itabidi uamue mwenyewe utafute namna utakavojitibu mwenyewe tiba iko mikononi mwako. Akimaanisha tafuta rafiki wa kiume. Ila mke hakuelewa hilo, alipotoka kwa dr, akaenda kumwona rafiki yake moja nesi ndie aliemfafanulia ushauri wa dr..... Siku moja nikakutana na huyo dada anatoka kanisani kwao kavaa uniform nadhani ni mwanakwaya, nikasalimiana nae vizuri, nikaona anavuta stori sana, nikataka nimtongoze nikaona ni mapema sana kwasababu simfaham sana kivile. Nikamwomba mda tuonane siku ilofuata.... Alikip tym akaja kwa mda tulioongea, tulipiga stori sana nikamtongoza akakubali,.niltafuta mahali tukaenjoy penzi. Siku hiyo nilimwona wa kawaida lakini siku nyingine tulipokutana nikagundua huyo mdada ni mtam sana, hata hamu ya kuwa nae haiishi. Akanisimulia jinsi mi nilivokuwa mwanaume wa pili kumjua maishani mwake, jinsi mumewe anavomkatili ktk tendo wakati ye ndo alie mtoa usichana wake hatimae kuugua ugonjwa wa kuweweseka na kushauriwa wa daktari na nesi. Niliposikia hivo ham ndo ilinipanda zaidi nikamshughulikia haswa.........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mdada moja aliolewa na mzee moja hivi mtumishi wa serikali. Wakabahatika kuzaa watt wa3, tatizo likaja yule dada hapatani na hizi madawa ya uzazi wa mpango, daktari akamshauri watumie njia za kalenda. Mume wake hakuridhika na huo ushauri akaamua yeye mwenyewe kumwaga manii nje wakati wa tendo. Wakafanya hivo hivo miaka miwili ikakata, baadae mke akapatwa na ugonjwa wa kuweweseka km hajitambui vizuri. Daktari akagundua tatizo baada ya kumwuliza mke kwa undani, alafu akamwita mzee akamshauri vizuri namna ya kutibu huo ugonjwa kuwa ni lazima mume awe anamfikisha mkewe kileleni ktk tendo ili mwili wake ukae sawa. Chakushangaza mume alikubali hapo lakini akaendelea na utaratibu wake ule ule wa kumwaga nje. Na mke akaendelea kuumwa zaidi wakarudi hospital. Dr akamwambia mke we ni mtu mzima itabidi uamue mwenyewe utafute namna utakavojitibu mwenyewe tiba iko mikononi mwako. Akimaanisha tafuta rafiki wa kiume. Ila mke hakuelewa hilo, alipotoka kwa dr, akaenda kumwona rafiki yake moja nesi ndie aliemfafanulia ushauri wa dr..... Siku moja nikakutana na huyo dada anatoka kanisani kwao kavaa uniform nadhani ni mwanakwaya, nikasalimiana nae vizuri, nikaona anavuta stori sana, nikataka nimtongoze nikaona ni mapema sana kwasababu simfaham sana kivile. Nikamwomba mda tuonane siku ilofuata.... Alikip tym akaja kwa mda tulioongea, tulipiga stori sana nikamtongoza akakubali,.niltafuta mahali tukaenjoy penzi. Siku hiyo nilimwona wa kawaida lakini siku nyingine tulipokutana nikagundua huyo mdada ni mtam sana, hata hamu ya kuwa nae haiishi. Akanisimulia jinsi mi nilivokuwa mwanaume wa pili kumjua maishani mwake, jinsi mumewe anavomkatili ktk tendo wakati ye ndo alie mtoa usichana wake hatimae kuugua ugonjwa wa kuweweseka na kushauriwa na daktari na nesi. Niliposikia hivo ham ndo ilinipanda zaidi nikamshughulia haswa.........

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamekusoma[emoji23] [emoji23]

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom