Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongeza na.Umesahau yafuatayo:
Matola ana msaliti Mgunda
Mudi kashatuibia kasepa
Kibu anazingua
Viongozi wajiuzuru
Timu yetu Mbovu
Kiungo mwenye spidi ya konokono amezeeka
Ma biliononi tuliyo tangaziwa tumepigwa
Bahati mbaya mashabiki wa Yanga siyo mbumbumbu kama nyinyi! Timu ikifungwa tu mnaanza kumzomea na kumkataa kocha wenu Matola na CEO Barbara! Timu ikishinda, mnabakia kimya mkikenua tu meno!!Gemu ikiisha, yafuatayo yataibuka.
- Kocha Nabi hana uwezo.
- Morriso tumepigwa.
- Aziz Ki hamna kitu.
- Yannick Bangala ashakuwa mzee.
- Hamasa nyingi timu haina kitu.
- Marefa wa kibongo wametulemaza.
- Tumeshatolewa mapema kwenye makundi.
- GSM tuachie timu yetu.
- Hasira zetu tutamalizia kwa Simba oktoba 23.
- Tuisila Kisinda amebaki kukimbia tu, hamna kitu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Gemu ikiisha, yafuatayo yataibuka.
- Kocha Nabi hana uwezo.
- Morriso tumepigwa.
- Aziz Ki hamna kitu.
- Yannick Bangala ashakuwa mzee.
- Hamasa nyingi timu haina kitu.
- Marefa wa kibongo wametulemaza.
- Tumeshatolewa mapema kwenye makundi.
- GSM tuachie timu yetu.
- Hasira zetu tutamalizia kwa Simba oktoba 23.
- Tuisila Kisinda amebaki kukimbia tu, hamna kitu.
HahahahahaaaaaaaaaaaGemu ikiisha, yafuatayo yataibuka.
- Kocha Nabi hana uwezo.
- Morriso tumepigwa.
- Aziz Ki hamna kitu.
- Yannick Bangala ashakuwa mzee.
- Hamasa nyingi timu haina kitu.
- Marefa wa kibongo wametulemaza.
- Tumeshatolewa mapema kwenye makundi.
- GSM tuachie timu yetu.
- Hasira zetu tutamalizia kwa Simba oktoba 23.
- Tuisila Kisinda amebaki kukimbia tu, hamna kitu.
Hiyo namba tisa hiyo ndio haswaa..ilipaswa iwe namba mojaGemu ikiisha, yafuatayo yataibuka.
- Kocha Nabi hana uwezo.
- Morriso tumepigwa.
- Aziz Ki hamna kitu.
- Yannick Bangala ashakuwa mzee.
- Hamasa nyingi timu haina kitu.
- Marefa wa kibongo wametulemaza.
- Tumeshatolewa mapema kwenye makundi.
- GSM tuachie timu yetu.
- Hasira zetu tutamalizia kwa Simba oktoba 23.
- Tuisila Kisinda amebaki kukimbia tu, hamna kitu.
Umesahau mlivyotaka kwenda kuchoma moto nyumba ya Lloyd Nchunga mpaka akawekewa ulinzi na RPC Suleiman Kova?Au wakati ule ulikuwa unaishabikia African Sports Club wana Kimanumanu?Bahati mbaya mashabiki wa Yanga siyo mbumbumbu kama nyinyi! Timu ikifungwa tu mnaanza kumzomea na kumkataa kocha wenu Matola na CEO Barbara! Timu ikishinda, mnabakia kimya mkikenua tu meno!!
Hao ni wahalifu tu. Mashabiki wa Yanga hatuna hizo mambo.Umesahau mlivyotaka kwenda kuchoma moto nyumba ya Lloyd Nchunga mpaka akawekewa ulinzi na RPC Suleiman Kova?Au wakati ule ulikuwa unaishabikia African Sports Club wana Kimanumanu?
Basi ulikuwa hujaanza kuishabikia Yanga kipindi hicho hao walikuwa wana Yanga kindakindaki na mshauri wao alikuwa mwendazake Akilimali au na yeye unamkana hakuwa mwana Yanga? Au tukubaliane kuwa Yanga ni kusanyiko la wahalifu?Hao ni wahalifu tu. Mashabiki wa Yanga hatuna hizo mambo.
Hio namba 6 Ndio point ya kupigia mstariGemu ikiisha, yafuatayo yataibuka.
- Kocha Nabi hana uwezo.
- Morriso tumepigwa.
- Aziz Ki hamna kitu.
- Yannick Bangala ashakuwa mzee.
- Hamasa nyingi timu haina kitu.
- Marefa wa kibongo wametulemaza.
- Tumeshatolewa mapema kwenye makundi.
- GSM tuachie timu yetu.
- Hasira zetu tutamalizia kwa Simba oktoba 23.
- Tuisila Kisinda amebaki kukimbia tu, hamna kitu.
Kwani neno UTOPOLO, lilitokana na nini?Bahati mbaya mashabiki wa Yanga siyo mbumbumbu kama nyinyi! Timu ikifungwa tu mnaanza kumzomea na kumkataa kocha wenu Matola na CEO Barbara! Timu ikishinda, mnabakia kimya mkikenua tu meno!!
Wale wa kupokea wageni nao hatimae wapo mashindanoni! Wageni mwaka huu mwenyeji wao nae yupo kikaangoni! Maisha Bwana!Toka lin ukafuzu makundi? Kwel we mad max
Zimegawiwa wapi huko?Pomoja na gsm kugawa tiketi bure bado uwanja haujajaa
Acha uchuroGemu ikiisha, yafuatayo yataibuka.
- Kocha Nabi hana uwezo.
- Morriso tumepigwa.
- Aziz Ki hamna kitu.
- Yannick Bangala ashakuwa mzee.
- Hamasa nyingi timu haina kitu.
- Marefa wa kibongo wametulemaza.
- Tumeshatolewa mapema kwenye makundi.
- GSM tuachie timu yetu.
- Hasira zetu tutamalizia kwa Simba oktoba 23.
- Tuisila Kisinda amebaki kukimbia tu, hamna kitu.
Kutishia kuchoma moto nyumba ya mtu, ni uhalifu huo! Hata kama walikuwa ni mashabiki/wanachama! Hicho kitendo ni jinai, kama zilivyo jinai nyingine.Basi ulikuwa hujaanza kuishabikia Yanga kipindi hicho hao walikuwa wana Yanga kindakindaki na mshauri wao alikuwa mwendazake Akilimali au na yeye unamkana hakuwa mwana Yanga? Au tukubaliane kuwa Yanga ni kusanyiko la wahalifu?