fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Hayo kamwambie mkeoGemu ikiisha, yafuatayo yataibuka.
- Kocha Nabi hana uwezo.
- Morriso tumepigwa.
- Aziz Ki hamna kitu.
- Yannick Bangala ashakuwa mzee.
- Hamasa nyingi timu haina kitu.
- Marefa wa kibongo wametulemaza.
- Tumeshatolewa mapema kwenye makundi.
- GSM tuachie timu yetu.
- Hasira zetu tutamalizia kwa Simba oktoba 23.
- Tuisila Kisinda amebaki kukimbia tu, hamna kitu.