Kitakachotokea Jumamosi baada ya gemu ya Yanga vs Al Hilal kuisha

Umesahau yafuatayo:
Matola ana msaliti Mgunda
Mudi kashatuibia kasepa
Kibu anazingua
Viongozi wajiuzuru
Timu yetu Mbovu
Kiungo mwenye spidi ya konokono amezeeka
Ma biliononi tuliyo tangaziwa tumepigwa
Ongeza na.

Israel mwenda anapiga back pass tu.

Inonga anacheza na jukwaa.

Sakho hamna kitu.

Marefa wanazingua tu.

Okwa mfupi sana tatizo.
 
Bahati mbaya mashabiki wa Yanga siyo mbumbumbu kama nyinyi! Timu ikifungwa tu mnaanza kumzomea na kumkataa kocha wenu Matola na CEO Barbara! Timu ikishinda, mnabakia kimya mkikenua tu meno!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahahahaaaaaaaaaaa
 
Hiyo namba tisa hiyo ndio haswaa..ilipaswa iwe namba moja
 
Bahati mbaya mashabiki wa Yanga siyo mbumbumbu kama nyinyi! Timu ikifungwa tu mnaanza kumzomea na kumkataa kocha wenu Matola na CEO Barbara! Timu ikishinda, mnabakia kimya mkikenua tu meno!!
Umesahau mlivyotaka kwenda kuchoma moto nyumba ya Lloyd Nchunga mpaka akawekewa ulinzi na RPC Suleiman Kova?Au wakati ule ulikuwa unaishabikia African Sports Club wana Kimanumanu?
 
H
Hio namba 6 Ndio point ya kupigia mstari
 
Bahati mbaya mashabiki wa Yanga siyo mbumbumbu kama nyinyi! Timu ikifungwa tu mnaanza kumzomea na kumkataa kocha wenu Matola na CEO Barbara! Timu ikishinda, mnabakia kimya mkikenua tu meno!!
Kwani neno UTOPOLO, lilitokana na nini?
 
Job katuchimesha, fei mchoyo ataki manywele afunge
 
Acha uchuro

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Basi ulikuwa hujaanza kuishabikia Yanga kipindi hicho hao walikuwa wana Yanga kindakindaki na mshauri wao alikuwa mwendazake Akilimali au na yeye unamkana hakuwa mwana Yanga? Au tukubaliane kuwa Yanga ni kusanyiko la wahalifu?
Kutishia kuchoma moto nyumba ya mtu, ni uhalifu huo! Hata kama walikuwa ni mashabiki/wanachama! Hicho kitendo ni jinai, kama zilivyo jinai nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…