fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Hayo kamwambie mkeoGemu ikiisha, yafuatayo yataibuka.
- Kocha Nabi hana uwezo.
- Morriso tumepigwa.
- Aziz Ki hamna kitu.
- Yannick Bangala ashakuwa mzee.
- Hamasa nyingi timu haina kitu.
- Marefa wa kibongo wametulemaza.
- Tumeshatolewa mapema kwenye makundi.
- GSM tuachie timu yetu.
- Hasira zetu tutamalizia kwa Simba oktoba 23.
- Tuisila Kisinda amebaki kukimbia tu, hamna kitu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Gemu ikiisha, yafuatayo yataibuka.
- Kocha Nabi hana uwezo.
- Morriso tumepigwa.
- Aziz Ki hamna kitu.
- Yannick Bangala ashakuwa mzee.
- Hamasa nyingi timu haina kitu.
- Marefa wa kibongo wametulemaza.
- Tumeshatolewa mapema kwenye makundi.
- GSM tuachie timu yetu.
- Hasira zetu tutamalizia kwa Simba oktoba 23.
- Tuisila Kisinda amebaki kukimbia tu, hamna kitu.
Dah!..wajukuu wa sheikh Yahaya mmeshaanza tabiri.Gemu ikiisha, yafuatayo yataibuka.
- Kocha Nabi hana uwezo.
- Morriso tumepigwa.
- Aziz Ki hamna kitu.
- Yannick Bangala ashakuwa mzee.
- Hamasa nyingi timu haina kitu.
- Marefa wa kibongo wametulemaza.
- Tumeshatolewa mapema kwenye makundi.
- GSM tuachie timu yetu.
- Hasira zetu tutamalizia kwa Simba oktoba 23.
- Tuisila Kisinda amebaki kukimbia tu, hamna kitu.
Taahira katika ubora wa lenyewe! Mbumbumbu FC!Gemu ikiisha, yafuatayo yataibuka.
- Kocha Nabi hana uwezo.
- Morriso tumepigwa.
- Aziz Ki hamna kitu.
- Yannick Bangala ashakuwa mzee.
- Hamasa nyingi timu haina kitu.
- Marefa wa kibongo wametulemaza.
- Tumeshatolewa mapema kwenye makundi.
- GSM tuachie timu yetu.
- Hasira zetu tutamalizia kwa Simba oktoba 23.
- Tuisila Kisinda amebaki kukimbia tu, hamna kitu.
Ndiyo nilikushangaa kuwaona mashabiki wa Yanga ni malaika,rejea post #23Kutishia kuchoma moto nyumba ya mtu, ni uhalifu huo! Hata kama walikuwa ni mashabiki/wanachama! Hicho kitendo ni jinai, kama zilivyo jinai nyingine.
Hoja zote ni nzito umetisha sana.Gemu ikiisha, yafuatayo yataibuka.
- Kocha Nabi hana uwezo.
- Morriso tumepigwa.
- Aziz Ki hamna kitu.
- Yannick Bangala ashakuwa mzee.
- Hamasa nyingi timu haina kitu.
- Marefa wa kibongo wametulemaza.
- Tumeshatolewa mapema kwenye makundi.
- GSM tuachie timu yetu.
- Hasira zetu tutamalizia kwa Simba oktoba 23.
- Tuisila Kisinda amebaki kukimbia tu, hamna kitu.
Katembo....
Timu haina management nzuri, wachezaji hawana hamasaOngeza na.
Israel mwenda anapiga back pass tu.
Inonga anacheza na jukwaa.
Sakho hamna kitu.
Marefa wanazingua tu.
Okwa mfupi sana tatizo.