Kitambaa Cheupe ipo sehemu gani?

Kuna taarifa umeipata kuna malaya ndio maana unaoaulizia ni uzinzi tu ndio unakupeleka huko hamna kingine
 
Ukinunua vinywaji vya Tsh.970,000/= unabaki na "thelatha"!Inakutosha nauli ya kurudia Kinampanda!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚... JESCA KIKUMBI NIMEKUITA KWA HERUFI KUBWA, NAKUAMURU UFUNGE BAR ZAKO HIZO, ona vijana wanaparurana, eti kurudi kinampanda ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mpaka afike njiapanda ya kitusha atakuwa amebak na jero ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚,
 
Tuelewesheni sisi watu wa Butakya, Kyampisi na Mugajware, hao machoko (mapapai) mabasha wanawabaishia wapi??

Huku kwetu kuna sheria, wanaume wawili chumba kimoja hairuhusiwi
Popote pale kwenye lodge huku wanaangalia hela yako tu. Cha muhimu msichafue mashuka yao na mbolea
 
Na kweli, maana kama ni kusifika, hata kwa Mwingira, Mwamposa na kule Kawe kunasifika..!! Kama ni kufuata kunakosifika angeenda hata kwa wachungaji.

CC mamdogo Amehlo
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€bamdogo jamani aje kawe kwa mwampopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ