Kitambaa Cheupe ipo sehemu gani?

Kitambaa Cheupe ipo sehemu gani?

Kuna taarifa umeipata kuna malaya ndio maana unaoaulizia ni uzinzi tu ndio unakupeleka huko hamna kingine
 
Ukinunua vinywaji vya Tsh.970,000/= unabaki na "thelatha"!Inakutosha nauli ya kurudia Kinampanda!
😂😂😂😂😂😂😂😂... JESCA KIKUMBI NIMEKUITA KWA HERUFI KUBWA, NAKUAMURU UFUNGE BAR ZAKO HIZO, ona vijana wanaparurana, eti kurudi kinampanda 😂😂😂 mpaka afike njiapanda ya kitusha atakuwa amebak na jero 😂😂😂😂😂😂,
 
Tuelewesheni sisi watu wa Butakya, Kyampisi na Mugajware, hao machoko (mapapai) mabasha wanawabaishia wapi??

Huku kwetu kuna sheria, wanaume wawili chumba kimoja hairuhusiwi
Popote pale kwenye lodge huku wanaangalia hela yako tu. Cha muhimu msichafue mashuka yao na mbolea
 
Back
Top Bottom