Kitambaa cheupe, sijui ni nini kinaendelea ila wakati mwingine Maisha ni Bahati tu

Joined
Jul 8, 2026
Posts
37
Reaction score
77
Sijawahi kikutana na huyu Dada, ila nakumbuka tokea enzi za fastjet, mpaka ki grocery kwenye frame moja pale tabata, mpaka baa kubwa, Tabata, sinza na mbagala,

Mara kuna ile microfinance, mara ile biashara ya Real estate na kadhalika.

Sijui ila kimpangia mtu maisha sio vyema nadhani huyu Dada licha ya kufanya kazi kwa bidii, nahisi pia Mungu alimpa rehema kwenye Maisha yake ya upambanaji.

Amekuwa inspiration kubwa kwa baadhi ya vijana fulani hivi kwenye mapambano ya maisha, Nakumbuka mpaka waziri mkuu alishaenda kumwona Baba yake kipindi anaumwa, yaani alishaanza kuwa mtu wa kitaifa.

Ila tokea huu mwaka umeanza mbona kama kuna mambo hayako sawa ? Sio mtaalamu wa sales lakini umeeshaenda kwenye baa zake hapa kati kati, vipi ile microfinance, vipi ila biashara ya Real estate ? Lastly vipi kuhusu familia ?

Anyway mara nasikia sasahv yupo na Vunjabei anyway au ni mambo ya umbea tu au ni kweli ?

Haya bwana huu uzi haujaisha ila naomba kuwasilisha.....
 
Umbeya tu!! Nenda kule chit chat tuondolee mambo ya hovyo huku
 
Sijawahi kikutana na huyu Dada, ila nakumbuka tokea enzi za fastjet, mpaka ki grocery kwenye frame moja pale tabata, mpaka baa kubwa, Tabata, sinza na mbagala,

Mara kuna ile microfinance, mara ile biashara ya Real estate na kadhalika.

Sijui ila kimpangia mtu maisha sio vyema nadhani huyu Dada licha ya kufanya kazi kwa bidii, nahisi pia Mungu alimpa rehema kwenye Maisha yake ya upambanaji.

Amekuwa inspiration kubwa kwa baadhi ya vijana fulani hivi kwenye mapambano ya maisha, Nakumbuka mpaka waziri mkuu alishaenda kumwona Baba yake kipindi anaumwa, yaani alishaanza kuwa mtu wa kitaifa.

Ila tokea huu mwaka umeanza mbona kMahodiama kuna mambo hayako sawa ? Sio mtaalamu wa sales lakini umeeshaenda kwenye baa zake hapa kati kati, vipi ile microfinance, vipi ila biashara ya Real estate ? Lastly vipi kuhusu familia ?

Anyway mara nasikia sasahv yupo na Vunjabei anyway au ni mambo ya umbea tu au ni kweli ?

Haya bwana huu uzi haujaisha ila naomba kuwasilisha.....
Ma Godi father hao, please asifanye kiburi kwa yule boss wa (.....), akaijfanya ameingia mjini sana, back to normal route, Jesca!...ana roho nzuri sana,ameshawahi kunipa lifti katika lile gari lake jeusi.
 
Sijawahi kikutana na huyu Dada, ila nakumbuka tokea enzi za fastjet, mpaka ki grocery kwenye frame moja pale tabata, mpaka baa kubwa, Tabata, sinza na mbagala,

Mara kuna ile microfinance, mara ile biashara ya Real estate na kadhalika.

Sijui ila kimpangia mtu maisha sio vyema nadhani huyu Dada licha ya kufanya kazi kwa bidii, nahisi pia Mungu alimpa rehema kwenye Maisha yake ya upambanaji.

Amekuwa inspiration kubwa kwa baadhi ya vijana fulani hivi kwenye mapambano ya maisha, Nakumbuka mpaka waziri mkuu alishaenda kumwona Baba yake kipindi anaumwa, yaani alishaanza kuwa mtu wa kitaifa.

Ila tokea huu mwaka umeanza mbona kama kuna mambo hayako sawa ? Sio mtaalamu wa sales lakini umeeshaenda kwenye baa zake hapa kati kati, vipi ile microfinance, vipi ila biashara ya Real estate ? Lastly vipi kuhusu familia ?

Anyway mara nasikia sasahv yupo na Vunjabei anyway au ni mambo ya umbea tu au ni kweli ?

Haya bwana huu uzi haujaisha ila naomba kuwasilisha.....
Sengerema!
 
Back
Top Bottom