Kitambi na mwanaume wa Kitanzania

Kitambi na mwanaume wa Kitanzania

mwanangoko

Senior Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
136
Reaction score
23
Ninashangaa mpaka karne hii ya 21,sisi wanaume wa kitanzania bado tunahusudu VITAMBI.
Kwa wenzetu wa maghaharibi,ni laziness na wanaamini kwamba kitambi ni dalili ya magonjwa kama kisukari,blood pleasure,hata kansa vile vile.

Hata wanawake wa kimagharibi,wanaweza kukukataa kama una kitambi.Bongo kwa ajili ya umaskini wanawake wetu wako OK,so long una pesa au title tu.Hapa kwetu Polisi,Waziri,profesa etc ni ok tu kuwa na kitambi,nothing bothers you.
Check pic hii
 

Attachments

  • kitambi.JPG
    kitambi.JPG
    85.1 KB · Views: 766
mmmmmmh kawaida tu mbona, maana hata watoto wadogo wa miaka miwili wana vitambi....
 
kiukweli mimi ninacho na sio mvivu. napiga kazi haswaa. sikitaki lakini kipo tu. nishaurini basi nifanyeje?

Anza kupiga tizi la uhakika.
Angalia unachokula. Mambo ya chipsi mayai acha.
Punguza beer ama ikibidi acha.
 
  • Je nini kifanyike kwa ambao wamejitambua na hawataki kuendelea kuwa na kitambi?

Kunywa Maji ya moto kila siku asubuhi na jioni. Mazoezi ya tumbo na kukimbia walau mara tatu hadi nne kwa wiki. Punguza ulaji wa starch na fats.
 
Cha msingi ni kuzingatia muda wa mazoezi na kuepuka kula vyakula vyenye mafuta kwa wingi
Kikawaida mazoezi yanachosha lakini hutakiwi kukata tamaa
 
Kitambi ulicho nacho ni ugonjwa, kwa wale wenye vitambi wapone haraka
 
Back
Top Bottom