shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,367
Hivi ndo walavyo hao webye vitambi pizza hotdog fries vikiwekwa mezani udenda lazma ukutoke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ndo walavyo hao webye vitambi pizza hotdog fries vikiwekwa mezani udenda lazma ukutoke
inawezekana anaogopa gharama, atapata hasaraHuyo chriss christie hapo ana hela sijui kwann asiende kufanya surgery aondoe kitambi hicho na mazoezi yaani anauwezo hata wakua na mtu wa mazoezi private
mutuwacheeee
inawezekana anaogopa gharama, atapata hasara
kiukweli mimi ninacho na sio mvivu. napiga kazi haswaa. sikitaki lakini kipo tu. nishaurini basi nifanyeje?
Ukienda bush vitambi ni kama hakuna, na hata wanaoshinda wwakicheza bao, hawana vitambi. WHY?
Ni msosi. Mlo mmoja kwa siku, mafuta mpaka siku ya sikukuu ukipikwa wali na maharage. Sukari mpaka mwezi wa ramadhani; vitambi vitoke wapi?
Kina mama,r every other day wanapanda milima kmutafuta kuni (6 hrs walk) bado kuchota maji daily na shamba kipindi cha kulima na kuvuna.
Hivyo kwa bongo vitambi vibahusiana na pesa, uwezo wa kula milo 3 kwa siku, elimu duni ya makundi ya chakula na athari zake, kutoona au kutojua faida ya mazoezi au uvivu (naangukia kundi hili) na kutochukia vitambi.
Kwa ufupi vitambi ni mafuta ya ziada yaliyotunzwa kwa matumizi ya baadaye. Neno kubwa ni ZIADA, ili uondoe kitambi basi unguza hayo mafuta ya ziada kwa kujizuia kuongeeza carbs na fat kupitia chakula. Na utumie zaidi kwa kufanya mazoezi au hata kazi (kulima, kubeba mizigo, kutembea badala ya kukodi taxi au kuweka gas kwa gari. With time kitambi kitaisha.
Ukishapata size/shape uitakayo maintain it kwa kubalance carbs unazokula ziwe sawa na unazounguza kwa shughuli zako za kila siku.
Hivi The Boss kitambi chake kimetokana na mpangilio mbovu wa mlo au uvivu wa kufanya mazoezi?
Kuna wanawake 'wengine' wanasema vitambi vinawa-turn on!!!
"capitalists normally rely on maximization of profit" yeye anaona akipunguza kitambi kwa kukigharamikia ata loose cz hakitamwingizia profit ambayo ni tangiableHasara ya nn ubahili hata kwa mwili wako
kiukweli mimi ninacho na sio mvivu. napiga kazi haswaa. sikitaki lakini kipo tu. nishaurini basi nifanyeje?