mwanangoko
Senior Member
- Jan 20, 2014
- 136
- 23
Wanasema usipokuwa na kitambi maanake huna pesa ha ha ha.....
"LIFESTYLE DISEASE"
Ni uzembe na uvivu tu....
Kitambi ni uzembe
Ni uzembe na uvivu tu....
kiukweli mimi ninacho na sio mvivu. napiga kazi haswaa. sikitaki lakini kipo tu. nishaurini basi nifanyeje?
- Je nini kifanyike kwa ambao wamejitambua na hawataki kuendelea kuwa na kitambi?