Kitambo sijakuwepo jukwaani.
Nmewamiss sana nikisema nianze kutaja mmoja mmoja sitamaliza. Hivi mnajua ushauri wenu uliniamsha usingizini nikaachana na yale mahusiano sugu.
2024 ni mwaka mzuri sana najisikia huru nina amani kupita maelezo. Niseme asante kwenu[emoji7]