Nimemsikia Lissu akisema vitambulisho vya machinga havina hadhi na huwezi kuvitumika popote na havina picha wala sahihi, nipende kumsahihisha kidogo.
Vitambulisho vya machinga vimetengenezwa kwa technologia ya smart card na vinatumia visimbusi vya barcode hii ni technology ya kisasa kabisa duniani na inatumiwa na makampuni makubwa kama oracle mastercard chubb thomas cook travellers etc,
Kusema kuwa hakina picha ndio maana hakina thamani sio kweli, vitambulisho vya kisasa haviwekwi picha kwa sababu za kiusalama, kwa technology ya sasa mtu anaweza fanya cloning kwa kutumia picha yako na akatumia kufanya uhalifu na mambo ya sahihi yalishapitwa na wakati sasa hivi technology inayotumika ni finger print scanning,
Kinachotakiwa kufanyika kwa sasa ni kufunga smart card readers na kufanya configuration sehemu za kutolea huduma za wamachinga, mfano akienda Bank afisa aki scan tu anapata mtaa naoishi umri wake na taarifa zote muhimu, hivyo ni rahisi kupata huduma ikiwemo mikopo, sasa hivi hadi afisa mikopo lazima amtembelee aulize na majirani kama wana mjua.
Kwa kutumia barcodes zilizoko kwenye vitambulisho zipo apps za simu zinazotumika kutoa huduma, hiki kitambulisho kinaweza tumika kufanya miamala ya fedha ya mpesa na tigopesa katika mfumo wa debit card, pia zinaweza tumika kama vibubu vya kutunzia fedha yaani electronic money transfers.
Kimsingi leseni za biashara zinatakiwa kuwa katika mfumo wa smart card na smart papers sio hivyo vitabu vya kizamani mtu anaweza durufu cha kwake akawa anagawa leseni za biashara na kukusanya pesa za wizi.