Kitambulisho cha machinga kimetengenezwa kwa technology ya kisasa kabisa ya smart card na barcode

Naamini jiwe anajuta kuanzisha hivyo vitambulisho amepiga hela lakini saiv vinamcost, wakati jiwe anafanya mambo yake Lissu alikuwa na karatasi na kalamu ana note down weaknes za jiwe sasa ndio kama ivyo wanapiga mawe, ccm walijitapa sana upinzan umekufa hakuna hoja ndege zimenunuliwa lakin sasa game imebadilika Lissu anaongoza 3 bila dakika ya 60
 
Kitambulisho hakina ubora wowote,vinapauka kama vimemwagiwa jiki....meko n ccm ni majizi wanaibia maskini na walalahoi.
Hii laana itawatesa milele
Lila technology Ina maboresho hata simu za samsung tumeanzia J1 Sasa hivi wako j12 nabado wanaboresha, hivyo vitambulisho vinaweza boreshwa pia
 
Nimemsikia Lissu akisema vitambulisho vya machinga havina hadhi na huwezi kuvitumika popote na havina picha wala sahihi, nipende kumsahihisha kidogo.

Vitambulisho vya machinga vimetengenezwa kwa technologia ya smart card na vinatumia visimbusi vya barcode hii ni technology ya kisasa kabisa duniani na inatumiwa na makampuni makubwa kama oracle mastercard chubb thomas cook travellers etc,

Kusema kuwa hakina picha ndio maana hakina thamani sio kweli, vitambulisho vya kisasa haviwekwi picha kwa sababu za kiusalama, kwa technology ya sasa mtu anaweza fanya cloning kwa kutumia picha yako na akatumia kufanya uhalifu na mambo ya sahihi yalishapitwa na wakati sasa hivi technology inayotumika ni finger print scanning,

Kinachotakiwa kufanyika kwa sasa ni kufunga smart card readers na kufanya configuration sehemu za kutolea huduma za wamachinga, mfano akienda Bank afisa aki scan tu anapata mtaa naoishi umri wake na taarifa zote muhimu, hivyo ni rahisi kupata huduma ikiwemo mikopo, sasa hivi hadi afisa mikopo lazima amtembelee aulize na majirani kama wana mjua.

Kwa kutumia barcodes zilizoko kwenye vitambulisho zipo apps za simu zinazotumika kutoa huduma, hiki kitambulisho kinaweza tumika kufanya miamala ya fedha ya mpesa na tigopesa katika mfumo wa debit card, pia zinaweza tumika kama vibubu vya kutunzia fedha yaani electronic money transfers.

Kimsingi leseni za biashara zinatakiwa kuwa katika mfumo wa smart card na smart papers sio hivyo vitabu vya kizamani mtu anaweza durufu cha kwake akawa anagawa leseni za biashara na kukusanya pesa za wizi.
Uki scan pale Kwenye barcode zitakuja taarifa mbalimbali za mwenye kitambulisho ikiwa tu taarifa hizo ziliwekwa kabla.

Tuambie wewe lini na wapi uliona wakiweka taarifa hizo?
 
Kubwa jinga.

Pumbavu. Umekariri kikasuku jinga wewe. Huna added knowledge yeyote technologically uliotupa dhidi ya kauli weledi ya Lissu minajiri bank loan transactions. Shule mlienda kusomea ujinga? Hovyo. Kakojoe ulale.
 
Nimemsikia Lissu akisema vitambulisho vya machinga havina hadhi na huwezi kuvitumika popote na havina picha wala sahihi, nipende kumsahihisha kidogo.

Vitambulisho vya machinga vimetengenezwa kwa technologia ya smart card na vinatumia visimbusi vya barcode hii ni technology ya kisasa kabisa duniani na inatumiwa na makampuni makubwa kama oracle mastercard chubb thomas cook travellers etc,

Kusema kuwa hakina picha ndio maana hakina thamani sio kweli, vitambulisho vya kisasa haviwekwi picha kwa sababu za kiusalama, kwa technology ya sasa mtu anaweza fanya cloning kwa kutumia picha yako na akatumia kufanya uhalifu na mambo ya sahihi yalishapitwa na wakati sasa hivi technology inayotumika ni finger print scanning,

Kinachotakiwa kufanyika kwa sasa ni kufunga smart card readers na kufanya configuration sehemu za kutolea huduma za wamachinga, mfano akienda Bank afisa aki scan tu anapata mtaa naoishi umri wake na taarifa zote muhimu, hivyo ni rahisi kupata huduma ikiwemo mikopo, sasa hivi hadi afisa mikopo lazima amtembelee aulize na majirani kama wana mjua.

Kwa kutumia barcodes zilizoko kwenye vitambulisho zipo apps za simu zinazotumika kutoa huduma, hiki kitambulisho kinaweza tumika kufanya miamala ya fedha ya mpesa na tigopesa katika mfumo wa debit card, pia zinaweza tumika kama vibubu vya kutunzia fedha yaani electronic money transfers.

Kimsingi leseni za biashara zinatakiwa kuwa katika mfumo wa smart card na smart papers sio hivyo vitabu vya kizamani mtu anaweza durufu cha kwake akawa anagawa leseni za biashara na kukusanya pesa za wizi.
Pumbavu. Umetumia 1/72 ya uwezo wa binadamu kufikiri. Hii ni sawa na 1.3% ya akili ya panya mfukua mabomu. Umemdhalilisha sana Muumba wako kwamba alikupa box badala ya kichwa. Hivyo, una kesi ya kujibu baada ya kifo chako. Nyau wewe.
 
Daah kweli hio ndio tech. Ya Smartcard?hiiiiiiiiiiiiiii.
Screenshot_2020-10-14-04-21-51-1.jpg
 
Nimesoma comment inaonyesha mleta mada alikurupuka Kama mjinga asiyeelewa chochote
 
Nimemsikia Lissu akisema vitambulisho vya machinga havina hadhi na huwezi kuvitumika popote na havina picha wala sahihi, nipende kumsahihisha kidogo.

Vitambulisho vya machinga vimetengenezwa kwa technologia ya smart card na vinatumia visimbusi vya barcode hii ni technology ya kisasa kabisa duniani na inatumiwa na makampuni makubwa kama oracle mastercard chubb thomas cook travellers etc,

Kusema kuwa hakina picha ndio maana hakina thamani sio kweli, vitambulisho vya kisasa haviwekwi picha kwa sababu za kiusalama, kwa technology ya sasa mtu anaweza fanya cloning kwa kutumia picha yako na akatumia kufanya uhalifu na mambo ya sahihi yalishapitwa na wakati sasa hivi technology inayotumika ni finger print scanning,

Kinachotakiwa kufanyika kwa sasa ni kufunga smart card readers na kufanya configuration sehemu za kutolea huduma za wamachinga, mfano akienda Bank afisa aki scan tu anapata mtaa naoishi umri wake na taarifa zote muhimu, hivyo ni rahisi kupata huduma ikiwemo mikopo, sasa hivi hadi afisa mikopo lazima amtembelee aulize na majirani kama wana mjua.

Kwa kutumia barcodes zilizoko kwenye vitambulisho zipo apps za simu zinazotumika kutoa huduma, hiki kitambulisho kinaweza tumika kufanya miamala ya fedha ya mpesa na tigopesa katika mfumo wa debit card, pia zinaweza tumika kama vibubu vya kutunzia fedha yaani electronic money transfers.

Kimsingi leseni za biashara zinatakiwa kuwa katika mfumo wa smart card na smart papers sio hivyo vitabu vya kizamani mtu anaweza durufu cha kwake akawa anagawa leseni za biashara na kukusanya pesa za wizi.
Achana na hao
Twende tu kakikope hela bank
Mbona izze tu

Ova
 
Back
Top Bottom