Kitambulisho cha machinga kimetengenezwa kwa technology ya kisasa kabisa ya smart card na barcode

Mnazidi kujiaibisha kwa kuibia mnaowaita Wanyonge
Anaeibiwa ni nani, ni srikari au machinga?
Kwani kama hataki kuibiwa ana acha kisha akutane na mgambo aone faida yake au alipe 150 hadi 360 ambayo ni 500 au 1000 kisha apangiwe eneo na sio kuzurura.
Hao wanowashabikia ni wale ambao hawana vitambulisho au waliovhukua vya wenzao na hawajawahi kukutana na dholuba la mgambo.
 
Labda watendaji wa kati na vijiji walipewa mashine za kuingiza details,lakini mleta Post anasahau kuwa vilikuwa vinauzwa kama nyanya,tena unalelewa hata usiku ukiwa bar.
 
Upuuzi mtupu.
Mleta mada nadhani unazungumzia vitambulisho vya wajasiriamali wa kule Japan.

Okay. Na huo ujumbe kwenye DP yako umeweka wewe.? Ni vyema tukafahamiana ndugu.
 
Mkuu acha KUTUMIKA
 
Hata hao Mgambo ni zuluma tu mtaji wa elfu kumi na mbili mnataka elfu ishirini WIZI TU. LISSU TUKOMBOE!
 
Weka copy tatu za hivyo vitambulisho, tuvi scan tuone majibu tutajayopata
 

Ww unaishi ili ule.
 
Hata hao Mgambo ni zuluma tu mtaji wa elfu kumi na mbili mnataka elfu ishirini WIZI TU. LISSU TUKOMBOE!
Hakuna cah ukombozi hapo ni ulaghai tu.
Ebu fikilia mpango wake, eti atengeneze sehemu maalumu kisha awatoe juani, hiyo sehemu atakayo iandaa atatumia pesa au mawe?
Na je kamaatatumia pesa na wakaenda kukaa bure je hiyo pesa ya maandalio itarudije au atatoa yake mfukoni?
Pili, je atakapokuwa amewapeleka huko je wale watakaobaki mtaani juani kwa sababu hawhitaji kukaa sehemu moja atawkamata au atawaacha?
Kwa kuwa machinga anapenda kupanga sehemu yoyote anyoona inampa biashara je hao atapambana nao vipi? Nasema hivyo kwa kuwa machinga walipelekwa pale dar kwenye jengo lao wakatoka na kurudi kariakoo
Je huoni hapo anwadanganya ili waanze kupata kichapo upya kugukuzwa kama zamani?
 
Kila mahali kuna Bango la Meko. Tunakaribia kumaliza Kampeni na bado sijaona bango hata moja la Tundu Lissu.

Swali: anawezaje kupata Nyomi kwenye mikutano ya hadhara bila ya matangazo? System wangetafakari hili swali sana maana jibu lake linaweza kuwaelimisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mods hebu futeni huu uzi mnazidi kuichafua ccm,maana jamaa alichoandika hapo ni upuuzi.Swali langu amewahi kukiona hata kitambulisho kimaoja cha wamachinga?
 
Kitambulisho hakina ubora wowote,vinapauka kama vimemwagiwa jiki....meko n ccm ni majizi wanaibia maskini na walalahoi.
Hii laana itawatesa milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…