Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,133
Mtoto wa wa taifa? WTF
U meant Wensday Thursday Friday right? 🙂 mtoto wa taifa lipi labda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto wa wa taifa? WTF
You've taken words out of my mindmtoto wa taifa???? ina maana diamond anataka kujiita baba wa taifa??? huwez kuwa bb au mtoto wa taifa coz hauna jambo la muhim la kitaifa alilofanya diamond zaid ya kutuharibia vijana na watoto kuvaa ovyo na kuwa na fikra nyepesi za mapenzi badala ya kuwafundisha mashabiki wake kujitambua kisiasa, kiuchumi,kiutamaduni na kijamii.
dah,natamani ningekuwa mtoto wa diamond
dah,natamani ningekuwa mtoto wa diamond