Kitanda cha mtoto mtarajiwa wa Diamond ni Madini tupu

Kitanda cha mtoto mtarajiwa wa Diamond ni Madini tupu

diamond134.PNG


Kitanda cha mtoto wa Taifa kama asemavyo mwenyewe Diamond kuwa huyo mtoto ni wa Taifa ndio icho uujauzito sasa unaelekea miezi 5 si mchezo.
Dinazarde warumi

Hivi kweli Zari kaamua kubeba mimba ya huyu bitoz???
 
Last edited by a moderator:
mtoto wa taifa???? ina maana diamond anataka kujiita baba wa taifa??? huwez kuwa bb au mtoto wa taifa coz hauna jambo la muhim la kitaifa alilofanya diamond zaid ya kutuharibia vijana na watoto kuvaa ovyo na kuwa na fikra nyepesi za mapenzi badala ya kuwafundisha mashabiki wake kujitambua kisiasa, kiuchumi,kiutamaduni na kijamii.
You've taken words out of my mind
 
Inaonekana wengi manaokwazika na Mimba ya Diamond kwa Zari hamna familia.

kwa mtu mwenye familia story za Diamond na mimba yake atachukulia ni jambo la kawaida sana

Hakuna kitakacho mshitua na kumjengea chuki dhidi ya Diamond.

Diamond anajua wabongo wengi wanapenda kujadili vitu vyepesi vyepesi,ndio maana na yeye kila wiki lazima aje na mpya na wanapokezana na mpenziwe Zari.
 
Back
Top Bottom