Lakini nimekumbuka kitu kimoja majambozi yananoga kitanda kikipiga makelele kama vile kwichi kwichi kwichi kwichi. Mzuka babake, hamjui tu nyie, eti mnaona kuwa wamekosa pesa za kununua kitanda, who told you
Kiacheni hivyo hivyo nyie wandoa
na nyie acheni ubahiri kanunueni kitanda kitakachowafanya muwe huru kujibinua katika style zote mnazotaka bila bugudha
kifanyie ukarabati, kama vipi nini weka godoro chini (sakafuni)!
wakati wa shuguli mi na mkewangu tunapofanza mapenzi mara nyingi huhofia kelele kwa watu wengine wanaweza kutususikia kitanda hupiga kelele sana mke wangu huwa hajali hilo..lakini mie inanitia wasiwasi jee huu ni uzembe, starehe???
Na wenye yale magodoro mazito inakuwaje. Nina godoro hata wanaume watatu wenye nguvu hawanyanyui!!
By the time unamaliza kushusha godoro, hata hamu ya kunaniii inakuwa ishaisha!!