kitanda chEtu kinapiga kelele wakati wa shuguli

kitanda chEtu kinapiga kelele wakati wa shuguli

Lakini nimekumbuka kitu kimoja majambozi yananoga kitanda kikipiga makelele kama vile kwichi kwichi kwichi kwichi. Mzuka babake, hamjui tu nyie, eti mnaona kuwa wamekosa pesa za kununua kitanda, who told you


Kiacheni hivyo hivyo nyie wandoa

Unajua bola kuona laivu mtu anafanya mapenzi kuliko kusikia bila kuona inaleta hisia na msisimko wa ajabu Hao majirani zao kama wapo single basi ujue ni nyeto mtindo mmoja wakisikia makelele
 
na nyie acheni ubahiri kanunueni kitanda kitakachowafanya muwe huru kujibinua katika style zote mnazotaka bila bugudha


eh ehe ehe eh FL1 hapo kwenye red hapo,duuuh umenistua sana
 
kama baba ndo ana wasi wasi maana yake ni kwamba, hata kupiga bao huwa inachukua mda maana saikolojia umeishaivuruga.

nunua kingine kaka
 
kifanyie ukarabati, kama vipi nini weka godoro chini (sakafuni)!



Nnamashaka na uzito huyu pdydy ni heavyweight kwa ushauri na kwakuzingatia upya wa ndoa yake na jinsi unavyojituma "perfomance A" shusha godoro chini kitanda hakina umuhimu kwa mwenye uzito kama wako labda kiwe cha.....!
 
wakati wa shuguli mi na mkewangu tunapofanza mapenzi mara nyingi huhofia kelele kwa watu wengine wanaweza kutususikia kitanda hupiga kelele sana mke wangu huwa hajali hilo..lakini mie inanitia wasiwasi jee huu ni uzembe, starehe???


Du mkuu inaonekama we na mamaa ni hodari wa kukata wapanga na mashoka huku mkirushiana marungu.....i wish ningekua jirani yako .....
...badiri kitanda au tumia style za slow motion kwa game.
 
Mi binafsi kwenye 6x6 kama kinapiga kelele mechi inaweza kuahirishwa kabisa sasa imekuwaje apo! ile shughuli inataka maximum concentration, sasa we wataka kusikia miguno au 'miguni ya kitanda'? Sipo hebu tuweke wazi

Kitanda kinaweza kunesa lakini sio kupiga kelele bana hapo starehe hakuna kabisa!
 
NUNUA KITANDA KINGINE,until then hatutaki kelele zenu.
MAJIRANI
 
wangekuwa majirani zangu nawashauri mtufunulie hata kipande tu cha pazia wengine hamu makelele kama hayo..na nati ziendelee kulegea kabisa watu tule mziki
 
Na wenye yale magodoro mazito inakuwaje. Nina godoro hata wanaume watatu wenye nguvu hawanyanyui!!

By the time unamaliza kushusha godoro, hata hamu ya kunaniii inakuwa ishaisha!!

Hilo litakuwa godoro la Pamba
 
Back
Top Bottom